Kuzaliwa na kuishi Dar ni fursa. Upo tofauti na wazaliwa wa mikoa mingine, usijichukulie poa

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Kuzaliwa na kuishi Dar ni fursa, upo tofauti na wazaliwa wa mikoa mingine, usijichukulie poa

Mfano: Mbagala inafanana kiukubwa na mkoa wa KILIMANJARO, Manyara na Singida, pia imechangamka zaidi

Dar is everything, ukishindwa kuwa tajiri, wewe ndio mwenye tatizo.

NB: NI MTAZAMO TU, TUSIJENGE CHUKI
 
Unatia aibu sana jiji chafu lenye foleni kila kona, bora hata mikoani kuna unafuu kunamiji ukifika utatia aibu tembea uone.
 
Sio kweli. Unamaanisha watu wa Dar wote ni matajiri, ama mimi sijaelewa!

Tunawaona vijana wa Dar vile walivyo, hiyo ndo dhana ya kufanikia kwao? Fursa ni popote mkuu, laa sivyo wote tungeishia huko.
 
Sio kweli. Unamaanisha watu wa Dar wote ni matajiri, ama mimi sijaelewa!

Tunawaona vijana wa Dar vile walivyo, hiyo ndo dhana ya kufanikia kwao? Fursa ni popote mkuu, laa sivyo wote tungeishia huko.
Suala la ridhiki hajipangii mtu ila huwa tunabahatisha tu, tukiamini itakuwa hivyo.
Fursa zipo popote ila siyo rahisi km tunavyofikiria
 
Unaposema Mbagala ni kubwa sawa na Kilimanjaro unamaanisha nini mbona kama hujaeleweka
Mkoa wa Kilimanjaro ni mkubwa mara kumi zaidi ya dar es salaam
 
we nafikiri una matatizo ya akili, unazungumzia ukubwa wa nini. Km eneo Dra ndio mkoa mdogo kuliko mikoa yote nchi hii. Manyara ni mkoa mkubwa sana bwanamdogo, ni mkubwa kuliko hata Arusha.

Vitoto vya siku hizi ni shida ni watupu kichwani halafu hawataki hata kujishulisha, wanachoweza kulalamika na ubishi. Hata Singida bado ni mkubwa sana. Km hujui jambo si ukae kimya ufanye unayoyaweza.
 
80% kodi TRA nchi hii inakusanywa Dar na 40% ajira mpya Dar na mabasi yote lazima namaanisha lazima routes za dar! Collection kodi dar inafuatiliwa na Arusha, Tanga Kilimanjaro na halafu Mwanza as per TRA 2022
 
Umekaa hapo Mbagala na kulishwa ujinga wa kutosha wa kufikiri Dar ni kila kitu na Mbagala ni kubwa kuliko Kilimanjaro wakati mkoa wa Dar wote ni mdogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro. Tembea kuna mazuri mengi mikoani kuliko hapo Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…