Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuna mtu anaomba ushauri humuhumu kadeki kwa miezi sita ( I think continuously/ nonstop hahaa) ulimi kooni umechunika!? Anaogopa kueleza hospt...keep it up .....
Muipitie hiyo thread mtajifunza kitu kwani kuna acidity kidogo ndani ya V.G.N ......
 
Haina mdhara yeyote iliyothibitishwa kwa 100% kiafya isipokuwa kama mwanamke atakuwa na maambukizi ya maradhi yatokanayo na magonjwa ya zinaa azima akuambukize. Kuzama chumvini hata mimi napenda lakini ni kwa mpenzi wangu tu na si vinginevyo

Ni kweli madhara ni pale mpenz wako akiwa na maambukizi uko baharini kinyume na apo haina tatizo.
 
moja kati ya madhara ambayo unayapata kiurahisi ni kupoteza testa ya ladha mdomoni
 
Wakuu habarini za asubui, najua wengi wetu tupo kwenye ujenzi wa taifa mida hii. tuachane na ayo, wana MMU Kuna kitu kinanitatiza sana hivi kwa wale wanaopenda kunyonya K au chumvini ni kweli ina madhara kama wanavyosema watu mana Mimi ni mdau mmoja wapo napenda sana hii kitu sasa kwa mujibu wa maelezo ya madokta usema kwamba kansa ya koo uhenda ikawa inasababishwa na kuzama chumvini! embu tupeane kinaga ubaga kuhusu hii kitu.nawasilisha wakuu
 
Mkapime afya kinagaubaga kabla ya kufanya hivo vitu mnavyoiga. Kuna vimelea vya kawaida maeneo hayo lkn vikahamia sehemu nyingine husababisha ugonjwa mf. Fangas za kinywa, na iwapo mwanamke ana maambukizi ya HPV hii itakuwa sababu ya kansa ya koo lako na ukweli ni kwamba watu wengi wameambukizwa HPV lkn hawajui.
 
Niliahidi nitakuja na mada muhimu inayohusu madhara/side effect kwa wale watumiaji wa kunyonyana wakati wa kufanya ngono-lugha rasmi ni kwenda chumvini. Kwanza tunajiaminisha kwamba hivi ni vitu tulivyokopa kutoka kwa watu wa magharibi/wazungu na tumeviingizwa katika ''system'' na tumejiaminisha kwamba inaleta muhamko(woman genital stimulation) wa kimapenzi pindi mdada/mkaka ukifanyiwa hivi. Labda niseme tu chumvini si lazima,ingawa inaongeza heshima na ustadi wa mapenzi.


Kwanza nianze kwa kusema hivi, kutokana na odors ya kimaumbile ni vizuri kwa guys kwenda chumvini pindi mwenza wako akitoka kuoga, hii itaepusha ile feeling kwamba chumvini ni 'uchafu' na mara zote huwa tunatumia ulimi na lips kufanya haya, na mara nyingine vidole hutumika pia. Sasa niendelee na mpangilio wangu kwa jinsi nionavyo na nilivyopitia-pitia baadhi ya news kuhusu hii kitu na mifano ambayo hapo awali nilikuwa sijajua ilisababishwa na nini lakini badae nikaja kujua.


Magonjwa yote yanasobabishwa na kungonoka(Sexual Transmited Diseases) yanapatikana vile kwa kutumia/kwenda chumvini. Hii ni kwa wote. Kama yale majimaji yatakuwa infected like HIV au bacteria basi mlambaji atakuwa ameathirika. Sasa angalia, ukilamaba halafu ukameza mate ni kwamba hawa bacteria wanakuwa transfered kwenye koo,wanaenda tumboni,wanatapakaa kwenye urethra, cervix, testicles na wanasababisha matatizo mpaka kwenye ovaries. Hapa nishauri kitu kimoja, tusipende kunyoa (ma.vuzi) few hours before sex, hii itaepusha risk ya kupata HIV, either kwenye kusex au kwenye oral sex.


Ukiendekeza sana chumvini kuna uwezekano wa kupa Head and Neck Cancers ambayo ina-attack sana Mdomo, Pua, Sinuses na Koo(throat). Sasa hivi kuna ongezeko kubwa sana la oropharyngeal cancer, hii ni kansa ambayo inakua kwenye tonsas(tonsils) na katika base ya ulimi kwa ndani ambayo ni kwa watu hata sigara hawazuti na mostly ni vijana, hii si nyingine ni practise ya Oral Sex. Na virusi wanaosababisha hizi cancer wanajulikana kama HPV(Human PapillomaVirus),hawa wanainfect genital, mdomo na throat. Kuna chanjo na baadhi kuna medical treatment.


Kuna watu wameumwa magonjwa ya ajabuajabu baada ya kwenda chumvini, hii inahusisha midomo kuvimba, mapele n.k, hii inawezekana ni aina mpya ya magonjwa yanayoweza kupatikana through cunningulus na felatio. Wakati nipo sekondari kuna rafiki yangu mmoja alifanya ngono isiyo salama na msichana ambaye alikuwa yupo kwenye 'circle-MP' jamaa baada ya siku kadhaa dudu(penis) lilivimbiana likawa linatoa denda, muwasho na maumivu makali. Yeye akawa anaficha lakini baada ya kuzidiwa ikabidi aeleze hadharani. Sema uzuri ni kwamba kule kijijini kulikuwa na wataalam, hakutuambia aliponaje lakini alichosema ni kwamba alinywesha jivu fresh la asubuhi, kakorogewa kwenye kikombe then kapewa, na baadae hali ikawa shwari.


Kiutaalamu zaidi ni kwamba Oral sex infections zake ni ndogo ukilinganisha na vagnal intercourse. Kwahiyo tuwe waangalifu kwa wenza wetu. Sio unakutana tu dada kitaa siku mbili mnaanza mahusiano unaenda chumvini,sio fresh et all.


Wasalaam!!

Mkuu nmekuelewa, ila nikuulize kitu kama ukienda chumvini kwa mama watoto wako yaani mke wako wa ndoa inakuwaje au napo bado ni hatari!??
 
Back
Top Bottom