Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Je kama una aleji na chumvi, inaruhusiwa kupamwagia asali?

Asali ni dawa sio nzuri kufika kule maana itaua bacteria waliopo kule wanaotumika kumprotect huyo dada hasipatwe na magonjwa mengine
 
Wadau nimekua adicted na kuzama uvinza kwa mke wangu.

Je, kuna madhara nitakayoyapata kiafya mdomoni?

Subiri kolomeo lako liumuke kama unga wa ngano unaotengeza maandazi......

Huko hapafai,sema sisi hua tunajitia wendawazimu tu!!

Pindi engine inapomwaga oil,kwa siku 3-7,zen unakuja zamisha ulimi wako kama taster?? Na kumbuka papuchi ina bacteria hatari sana ambao huilinda papuchi... so we endelea tu... fainali uzeeni
 
Endeleeni kuzama... sisi tunaosomea u daktar tuje tupate wagonjwa,wengi.bana sio unakaa kutwa nzima offisini hupati hata,mteja mmoja wa,kansa,ya koo...zameni wakuu kila siku
 
Chumvi zingine sumu jamani nyie jifanyeni mafundi tu zingine zina fangas harafu zinatoa harufu hatari ni wanawake wachache sana ambao ni wasafi kila sekta lakini hawa wenzangu na mimi hawajui hata kusafisha nyeti zao kutwa anakojoa vichochoroni na hajisafiahi kwa maji afu akiwa faragha na mpenzi wake anamuomba mpenz wake azame chumvini weka pua sasa uone!!!!!!!! unaweza ukazimia utafikiri gali taka limepita au nyumba ya jirani choo kina zibuliwa.
 
Mimi huwa na disinfect kwa kupaka asali tena pote, kwenye "K" na kwenye "T" then shughuli ndo inaanza. Lakini hii nafanya kwa wife peke yake.
 
Acheni uongo jameni! Leta takwimu hapa na uhusiano wa mojakwamoja na hili tendo. Hizi blabla sio nzuri
 
mimi kusema kweli umekuwa ugonjwa wangu yaani siwezi kumla mwanamke mpaka nimnyonye chini...
bila hivyo naona sijakamilisha kitu.
 
Utakuwa mchaga wa kwanza kuniganda mpare mimi mpaka kiyama na wenzio wasielewe ni kwa vip unizimikie fukara mimi...... kumbe unakula zako rahaa za dunia kimyaa kimyaaa !
ha ha ha mtani najua unatania tu....
 
Wala sitaniii miss chaga nataka kugandwa na mchaga
 
Last edited by a moderator:
Asali ni dawa sio nzuri kufika kule maana itaua bacteria waliopo kule wanaotumika kumprotect huyo dada hasipatwe na magonjwa mengine


Kwa maana ya kwamba mimi ndiyo nidhulike na hao bakteria wa huko?
 
hii mada imepata wachangiaji wengi kweli,kila niingiapo JF,naiona ipo juu kileleni ktk thread zinazo trend.mda wote nimekuwa nikiipuza,ila sasa nimeifungua rasmi.sina maneno mengi ya kumshauri mleta mada na wanachama wa chama cha wapenda kwenda chumvini (CHAWAKWECHU).acha picha ziongee ili zizidishe hofu kwa wahusika.
images
princ_rm_photo_of_oral_cancer.jpg

Leukoplakia02-04-06.jpg


hpv-oral-cancer.jpg

mouth_cancer.jpg
pregnancy-gingivitis.jpg
 
hii mada imepata wachangiaji wengi kweli,kila niingiapo JF,naiona ipo juu kileleni ktk thread zinazo trend.mda wote nimekuwa nikiipuza,ila sasa nimeifungua rasmi.sina maneno mengi ya kumshauri mleta mada na wanachama wa chama cha wapenda kwenda chumvini (CHAWAKWECHU).acha picha ziongee ili zizidishe hofu kwa wahusika.
images
princ_rm_photo_of_oral_cancer.jpg

Leukoplakia02-04-06.jpg


hpv-oral-cancer.jpg

mouth_cancer.jpg
pregnancy-gingivitis.jpg

Ayaaaaa.
 
Back
Top Bottom