Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?


Nmekuelewa mkuu ila Nina swali, mimi nina mpenz wangu natarajia kumuoa mda so mrefu ni vibaya nikiwa namuingilia chumvini au itakuwa ina madhara ata kwa mke wangu embu nipe data kidogo
 
Nmekuelewa mkuu ila Nina swali, mimi nina mpenz wangu natarajia kumuoa mda so mrefu ni vibaya nikiwa namuingilia chumvini au itakuwa ina madhara ata kwa mke wangu embu nipe data kidogo

Madhara ni yale yale hata akiwa nani.
Siku ukiacha utapata tuhuma za usaliti, usifanye vitu kama hutaki kuendelea
 

Naunga mkono hoja, bibi angu anamiaka 75 anasema mambo hayo yalikuepo miaka hiyo
 
Hakuna starehe kama kula K... jamani. Daaah alaf ukute mtoto light skinned, kajaa jaa. Mweeeh. Na lile joto la kwa bed noma sanaaa mazee. Daaah
Mwacheni ale hela zangu tu, cz returns nazopata ni kubwa mnooo !! Lol
 
Some are OD'ed on that already, straight fiends. I think the name of the game would be making sure that, the special someone you go downtown to, keeps it fresh + stays faithful. And checks up regularly, to make sure ain't no monkey biz going on down-there.

Cigarettes are among the most dangerous to a human health. Affect people that don't even smoke. But they still make them, and advise you to smoke responsibly.
 
Nimeisoma na nimeielewa ila imeninyima raha aisee.

I love that much na sijui itakuwaje. nipe njia mbadala
 
Nimeisoma na nimeielewa ila imeninyima raha aisee.

I love that much na sijui itakuwaje. nipe njia mbadala
 
Wajumbe salaam,

Nimekuja kuweka tahadhari kwa mateja wa kuzama chumvini,hata wale wanaochipukia.

Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu bado unaripotiwa mikoa kadhaa,na jana umeripotiwa tena Tabora.

Mtindo huu wa ufanyaji mapenzi umekuwa maarufu sana miongoni mwetu,na viungo vinavyohusika kimojawapo ni delicate sana na ugonjwa.

Hata kushika maiki bado ni hatari tu.Epuka uzamaji chumvini na ushikaji maiki kipindi hiki cha mlipuko wa kipindupindu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…