tzjamani
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 995
- 31
Iko jamaa analalamika wife wake anataka alambe tunda- 'oral'.
Nimemwambia hiyo kitu ni dhambi mkuu, uumbaji wa Mungu hauruhusu hayo mambo. Na pia kuna magonjwa, unaweza kupata fangas ya mdomo..
Lakini anasema wife wake alalamike mbona yeye alamba koni bila tatizo?
Duh hebu tumpe huyu jamaa shule na wengine wenye tabia ya kuharibu mipango ya Mungu.