Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

teh teh
 
Mkuu mashaka yangu ni aftermath! Sina hakika madaktari watatuambia nini, lakini wengi wanahisi kuongezeka kwa kansa haya ya kinywa (KS??) na koo ni matokeo ya kuzama chumvini ukizingatia maeneo hayo ni fertile kwa vijidudu kibao. Bora hata mleta mada asingeianzisha make wachangiaji wengi naona wanaongelea zaidi u-chanya (positivity) wake badala ya kutupatia hali halisi!
Kuna wengine wanalamba mpaka 0713
 
but guys,this whole thing mapenzi is an art, kama utakuwa mbunifu mpenzi wako atakuganda kama ruba, mnaweza jikuta the whole day mna do bila kukinai..lol
 

am not a medical personel,ila as long as partina ni msafi na hana infection sidhani kama ni tatizo.anyway ngoja madoc waje watupe mchango wao wa kitabibu
 
kile kiarufu cha mgodini.... Natapika utumbo wa pig niliokunjwa na supu yake

wakati wenzio wanafurahia hyo LOVE SMELL.. ah watu wanatofautiana taste lakini.. halafu jamaa akitoka chumvini mnakula denda.. ohh so sweet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…