Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

itakuwa ni mafua ya ........!
 
Yani wewe unaingia uwanjani unapigwa ngwara...eti sichezi tena mpira! ndio kujifunza huko, andaa mazingira mazuri piga mechi....
 
Kwi kwi kwiiiiiiiiiiiii .. figganigga ..'Kitu cha uvinza mwanawani .. Mia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Lahaula. Weye jamaa angu usiombe nkeo apite anga zangu. Atakukimbia

kama umemfanyia hivo mkeo kumridhisha basi niseme umempa roho ya umalaya... Ni sawa na kujaribu kufikiria namba kubwa kuliko zote na yeye awe anaongeza moja, siku ukishindwa kumhudumia atahangaika sana kutafta mwingine kama ww mpaka akamkose atakua amesha kuletea kisonono cha kinywa
 
nyie ndiyo mnao sababisha magonjwa yasiyo tibika kutokana na tabia zenu hizo
 

Rudia kwanza kusoma badiko lako. Utaona ulichoandika hakistahili kuandikwa ,
So kwa nini nishindwe? Why? toa sababu zinazoweza kusababisha nishindwe.
BTW !! Hayo ya kuhusu mkeo sijui nini i was joking.. Sinaga time na wake za watu so relax
 
haaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaa pole kwa kuiga vitu usivyo jua pakuanzia wapi haaaaaaaaaaaaa
 
duh,pole,siku ingine usipige vigelegele tena....hivi na ma-chicks wakishika mic wanaumwaga?
cc: Preta na Ciello
 
Last edited by a moderator:
Rudia kwanza kusoma badiko lako. Utaona ulichoandika hakistahili kuandikwa ,
So kwa nini nishindwe? Why? toa sababu zinazoweza kusababisha nishindwe.
BTW !! Hayo ya kuhusu mkeo sijui nini i was joking.. Sinaga time na wake za watu so relax

Kuna safari za kikazi, ugonjwa au streaa nikitaja chache(mhh sijarudia kuaoma nilichoandika bado)
 

figaganigga tuachie sisi wazoefu bhana tunapiga chumvini mpaka magadi .............!:biggrin1::biggrin1::dance::biggrin1::biggrin1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…