figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
figaganigga tuachie sisi wazoefu bhana tunapiga chumvini mpaka magadi .............!:biggrin1::biggrin1::dance::biggrin1::biggrin1:
Mnao ingia chumvini shikamoo. mia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
figaganigga tuachie sisi wazoefu bhana tunapiga chumvini mpaka magadi .............!:biggrin1::biggrin1::dance::biggrin1::biggrin1:
Kuna safari za kikazi, ugonjwa au streaa nikitaja chache(mhh sijarudia kuaoma nilichoandika bado)
Habari zenu wapendwa.mwenzenu nlijiona ngangali kinoumer, nikajidai na mimi kuingia chumvini weee!!. Nimeambulia kupata mafua hata sijui ni mafua ya aina gani. Nilikua nasikia chumvini kuna mafua nabisha. Duh! ile kitu ni noumer coz usiku pua zinapumua kwa zamu, kama moja inapumua nyingine inaziba. nmekoma na sirudii tena.duh!!.Mia
Kaka kuna koz yake sio unakurupuka tu unaingia utaamka na gonno la mdomo utulaum kwamba hatukukupa maujanja.halafu uwe unaangalia na sehemu unapozamisha ulimi mtoto hajui kuosha key we unakimbilia tu kutia ulimi wewe
We ulienda kutafuta nini huko mkuu? Pole na hii iwe fundisho kwa wale wenye ya kuexperiment kila wanacho kisikia kuwa kiko!Habari zenu wapendwa.mwenzenu nlijiona ngangali kinoumer, nikajidai na mimi kuingia chumvini weee!!. Nimeambulia kupata mafua hata sijui ni mafua ya aina gani. Nilikua nasikia chumvini kuna mafua nabisha. Duh! ile kitu ni noumer coz usiku pua zinapumua kwa zamu, kama moja inapumua nyingine inaziba. nmekoma na sirudii tena.duh!!.Mia
hivi unajua kuwa simu tunazitumia zina miali inayoleta kansa? Unajua mahindi na maharage yakihifadhiwa vibaya yanaweza yakasababisha kansa? Unajua hewa unayovuja ina bakteria kiasi gani?
Mnao ingia chumvini shikamoo. mia
Hujaiva mtani kila kitu chahitaji ujuzi, mwaka wa kumi sasa nafanya kazi hiyo nipo safe hata mafua sijapata tehe tehe. mia
Marahaba tunaingia mpaka magadini hatuishii chumvini..............!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::smow:
Wewe utakuwa hujafuata sheria za kuzamia huko uvinza