Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

sio kila mwanamke unaweza kuingia chumvin mkuu , lazma ufanye test kwanza then ndo unazama tena kuna staili ya kuzama chumvin, chumvi hailiwi kwa pupa ila pole ndo maisha hayo ya ujana kusimuliana vijiwen,hostel nk.
 
Wenzako wanaanzaga na kula pipi kifua kwanza!!then chumvini panahusika
 
Kuna safari za kikazi, ugonjwa au streaa nikitaja chache(mhh sijarudia kuaoma nilichoandika bado)

hivi unajua kuwa simu tunazitumia zina miali inayoleta kansa? Unajua mahindi na maharage yakihifadhiwa vibaya yanaweza yakasababisha kansa? Unajua hewa unayovuja ina bakteria kiasi gani?
 
umeenda uvinza kwa vicheche.... pole mkuu wahi CCBRT... hayo makitu unafanya kwa yule mmoja wa ulkweli unayemwamini na una uhakika na usafi wa mazingira.
 
Habari zenu wapendwa.mwenzenu nlijiona ngangali kinoumer, nikajidai na mimi kuingia chumvini weee!!. Nimeambulia kupata mafua hata sijui ni mafua ya aina gani. Nilikua nasikia chumvini kuna mafua nabisha. Duh! ile kitu ni noumer coz usiku pua zinapumua kwa zamu, kama moja inapumua nyingine inaziba. nmekoma na sirudii tena.duh!!.Mia

Hujaiva mtani kila kitu chahitaji ujuzi, mwaka wa kumi sasa nafanya kazi hiyo nipo safe hata mafua sijapata tehe tehe. mia
 
Kaka kuna koz yake sio unakurupuka tu unaingia utaamka na gonno la mdomo utulaum kwamba hatukukupa maujanja.halafu uwe unaangalia na sehemu unapozamisha ulimi mtoto hajui kuosha key we unakimbilia tu kutia ulimi wewe

Mkuu umeadimika sana, kwema lakini???
 
Habari zenu wapendwa.mwenzenu nlijiona ngangali kinoumer, nikajidai na mimi kuingia chumvini weee!!. Nimeambulia kupata mafua hata sijui ni mafua ya aina gani. Nilikua nasikia chumvini kuna mafua nabisha. Duh! ile kitu ni noumer coz usiku pua zinapumua kwa zamu, kama moja inapumua nyingine inaziba. nmekoma na sirudii tena.duh!!.Mia
We ulienda kutafuta nini huko mkuu? Pole na hii iwe fundisho kwa wale wenye ya kuexperiment kila wanacho kisikia kuwa kiko!
 
hivi unajua kuwa simu tunazitumia zina miali inayoleta kansa? Unajua mahindi na maharage yakihifadhiwa vibaya yanaweza yakasababisha kansa? Unajua hewa unayovuja ina bakteria kiasi gani?

Hayo tisa unajua ukifa kuna moto au barafu ya milele(inategemea na imani yako)
 
pole sana mkuu chumvin kunatakiwa ufanye na mtu unayemjua vizuru namaanisha kumjua na usafi wake huyo akuwa saizi yako mkuu
 
Hujaiva mtani kila kitu chahitaji ujuzi, mwaka wa kumi sasa nafanya kazi hiyo nipo safe hata mafua sijapata tehe tehe. mia

tangia nikufahamu leo ndo umenidanganya!. huwa unafanyafanyaje huko chumvini mkuu?. naomba unisaidie mahesabu. mia
 
Marahaba tunaingia mpaka magadini hatuishii chumvini..............!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::smow:

mkuu unamjuaje ambaye hana mafua kwa kumuangalia? ntakufuata kule kwenye jukwaa lako unielekeze japo siwezi rudia tena. labda nlikosea steps. kwani nyinyi mnaanza anzaje?. mia
 
Wewe utakuwa hujafuata sheria za kuzamia huko uvinza

kama kuna sheria basi sijazifuata. kwani zikoje hizo? mi nlijua unaenda tu!. haya mambo ya kufuata mkumbo matokeo yake ndo kuumbuka kama huku. sikujua ka kuna sheria mwenzio!. mia
 
Samahani ndgu zangu " kuzama chumvini ndo nini"???

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom