Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

...baba...endelea kupiga deki tu baba...ikiwezekana tafuna kabisa io kitu..si mali yako???!!! alaaaah!!! na ile hali ya tindikali iliokua mule...aseee ni vinegar kabisaaaa
 
Dyu ata mi napenda ila kwa mchepukoo sio kwa mke wangu.
 
Mkuu ongeza na style nyingine, hiyo kitu safi sana. BTW, mapenzi ni uchafu
 
ila kama unapenda jitaidi uwe unahakikisha unamwosha vizuri kabla ya kuingia huko.....wengine kujiosha hautuwezi unaweza kula madudu huko
 
Madhara yake ni kuwa ukija kumpata demu ambaye hajawahi kunyonywa papuchi atakung'ang'ania sana.
 
Acha kabisa huo mchezo usitafute ufahari ambao utakuja kukupa shida mkuu siku hizi magonjwa kibao kuna HPV,UTI ma Fungal infection ya kumwaga sasa wewe endelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…