Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Madhara ni makubwa, hasa ukikumbwa na ugonjwa wa kung'oka meno. Unaweza kuwa kibogoyo wakati wowote.
 
Haina mdhara yeyote iliyothibitishwa kwa 100% kiafya isipokuwa kama mwanamke atakuwa na maambukizi ya maradhi yatokanayo na magonjwa ya zinaa azima akuambukize. Kuzama chumvini hata mimi napenda lakini ni kwa mpenzi wangu tu na si vinginevyo
 
Kama kuna kamchezo kanakowakuna wadada basi hii ndio nimekwisha pata ushahidi wa wazoefu wa tasnia hii kuwa ukimpata nyapu mkali kwa ngekewa alafu hutaki akuache hebu piga dekio baharini tu atakuandama njia yote.
 
Mkuu Yule Ndiyo Alikuwa Kichaa Kabisaaa... Ukianza tu basi ni Ahsante Mpaka Unamaliza... Lakini Hakuwa Jini Mkuu

Hahaaa we mkali hadi jini kapagawa, ila ucwe na hofu huko alikoenda akikosa uhondo atakurudia tu.
 
Nini Chumvini we zama mpaka kwenye Magadi hapo panapotokea Nya, usipozama wakizama wenzio mwenza wako atakukimbia.
 
Madhara lazima yatakuwepo tu. Logically humo chumvini sidhani kama kuna hewa ya kutosha.
 
Wadau nimekua adicted na kuzama uvinza kwa mke wangu.

Je, kuna madhara nitakayoyapata kiafya mdomoni?


Saratani inayoua sana Tanzania ni Ya kufanya Mapenzi Kwa njia ya Mdomo





Saratani imeendelea kuwa tishio Tanzania na sasa unaambiwa saratani ambazo zilikuwa hazijawahi kujitokeza au kuonekana kipindi kilichopita, sasa ndio kama zimezaliwa na watu mbalimbali Tanzania wanakutwa nazo.

Mkurugenzi wa Idara ya Kinga kutoka taasisi ya Saratani Ocean road Julius Shija amesema takwimu zinaonyesha kuwepo kwa saratani ya mdomo na koo kwa kiasi kikubwa kuliko miaka iliyopita Tanzania.


Kwenye sentensi ya pili akasema >>> ‘Watanzania wasipende kuiga mambo ambayo si sahihi bila kujua madhara yake kama kufanya mapenzi kwa kuhusisha mdomo, saratani ya mdomo ipo na nyingine zinasababishwa na zinaa’


Anasema kwenye kupokea wagonjwa wapya kila siku kwenye taasisi hiyo, Wagonjwa waliopata saratani hiyo mdomoni na kwenye njia ya juu ya hewa baada ya kujamiiana kwa njia ya mdomo wanaongezeka na sasa wanapokea Wagonjwa 500 mpaka 600 tofauti na kipindi cha miaka ya tisini mwishoni na miaka ya elfu mbili mwanzoni walipokua wakipokea Wagonjwa 200-300.


‘

Kufanya mapenzi na kuhusisha mdomo kunaleta saratani kupitia mdomo na sehemu ya juu ya hewa, virusi hivi vikifika kwenye sehemu ya juu ya hewa na mdomoni na vikakuta kuna mchubuko au uwazi wowote vitaingia kwenye hizi chembechembe za fizi kwenye ulimi na kwenye njia ya juu ya hewa, vitapenya ndani na kuharibu zile chembechembe na zitaanza kukua na kusababisha saratani’


Kwa kumalizia anasema virusi hivi kikawaida vinakuwa kwenye sehemu za siri na vinasambaa kwa njia ya kujamiiana na vinasababisha baadhi ya saratani kwenye sehemu za siri kwa mfano saratani ya shingo ya uzazi kwa Wanawake.

Chanzo: MillardAyo




Topic: Saratani inayoua sana Tanzania ni Ya kufanya Mapenzi Kwa njia ya Mdomo
 
Hamna kitu kama hicho. Ila kama mwanamke anachanganya wanaume na mwanaume hali kadhalika basi unawwza kupata ugonjwa na sio kansa moja kwa moja.
 
hana madhara mkuu zaid ya kupata madin ya chuma.nimefanya hyo kitu kw muda wa miaka mitano sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…