Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

unanikumbusha rafiki yangu ulimi wote ulijaa malengelenge vijana tuachani mambo hayo
 
maninaa km kugongewa nigogengewe tuu...makuu silambi ata uje na jambia...kuitazama tuu kwenyew smtms yataka moyo je kuilamba!!

Wewe kinda tu kuluka huwezi ukikua utajua kwa nini watu hatuachi hiyo kitu yenye madini joto
 
WHO kwa kushirikiana na OCEAN ROAD HOSPITAL wamefanya risech na inaonesha idad kubwa ya wahanga ni vijana wa umri kati ya 25+,na imeonesha kuwa weng hufanya haya mambo ili kuwaridhisha wapenz wao,utafiti huo uliwah kuripotiwa na gazet la mwananchi la 25 dec mwaka jana na post ya hiyo habar ipo humu,kama mtu anaweza aitafute tu

Utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini umeonyesha asilimia 20 ya saratani ya koo husababishwa na ngono ya mdomo maarufu kama ‘Oral Sex".

Utafiti huo unaonyesha saratani ya koo licha ya kuambukizwa na njia mbalimbali ikiwemo ulaji wa vyakula vyenye pilipili,

pombe kali, vitu vyenye uchachu pamoja na kurithi kutoka kwa wazazi.

Utafiti unaonyesha watu wengi hasa vijana wanamejiingiza kwenye vitendo hivi vya kufanya ngono wakitumia midomo hasa ndimi, hivyo kuhatarisha uhai wao.

Katika utafiti huo wa hivi karibuni, ulibaini wanaume 747 na wanawake wakiwa 472 hugundulika kila mwaka kuwa na saratani hiyo huku wanaopoteza maisha kila mwaka ni wanaume 444 wakifuatiwa na wanawake 270 kutokana na ugonjwa huo.

Utafiti unabainisha kuwa asilimia kubwa ya vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 45 wanatumia staili ya kuwanyonya wenza wao sehemu za siri lengo likiwa ni kuwavutia wapenzi wao katika kushiriki ngono.

Vijana wenye umri huo ndio wahanga wakubwa kwa sasa kutokana na ugonjwa huo kuonekana kuwaathiri kwa kasi, huku wengi wakiwa hawajui athari zake. Baadhi hujisifia kwamba ni wajuzi, kumbe wanajitafutia kifo kwa kufanya vitendo hivyo.

Utafiti unaonyesha kwa watu wazima walio wengi hawana muda wa kufanya hayo wanayofanya vijana, hivyo kujikuta angalau wanakuwa salama na kupatwa na saratani ya koo kwa njia hiyo inayoonekana kama ni chafu pia.

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Crispin Kahesa anasema saratani ya koo ni ya pili katika mtiririko wa saratani zinazowapata wanaume nchini, ikiongozwa na ile ya ngozi (Karposi's Sarcoma) ambayo huambukizwa kwa njia ya kujamiana. Kuna saratani aina zaidi ya 24 zinazoisumbua Tanzania.

Anasema mbali na staili hiyo pia, kuna baadhi ya watu hupata saratani ya koo kwa kurithi kutoka kwa wazazi wao na wengine kuwa na umri mkubwa ambao huchangia kupata tatizo hilo, lakini siyo kwa asilimia kubwa kama ile ya ngono ya mgomo.

"Hali hii ya vijana wenye umri huo kuwanyonya wanawake inatokana na ujana, wengine wanaiga kwenye mitandao, lakini mambo haya hayakuwepo zamani tofauti na sasa, utakuta wanaume ili aweze kumvutia mwanamke anamfanyia hivyo sehemu za siri, lakini zamani staili hii haikuwepo kabisa," anasema Dk Kahesa na kuongeza.
 
Eti watu8, Cancer inasababishwa na Virus?

Si kansa zote zinazosababishwa na virusi mkuu isipokuwa kuna baadhi yake husababishwa na virusi...

Kinachofanyika ni kwamba baada ya mtu kupata viral infection mathalani kama hii ya HPV...

DNA katika virus huweza kuchanganyika na human DNA, na possibly yakafanyika mabadiliko yenye kupelekea ukuaji na uongezekaji wa cells mpya (ambazo zina sifa zote za kansa)...

Kama utapata muda soma mtandaoni kitu kinaitwa "oncovirus"...
 
Si kansa zote zinazosababishwa na virusi mkuu isipokuwa kuna baadhi yake husababishwa na virusi...

Kinachofanyika ni kwamba baada ya mtu kupata viral infection mathalani kama hii ya HPV...

DNA katika virus huweza kuchanganyika na human DNA, na possibly yakafanyika mabadiliko yenye kupelekea ukuaji na uongezekaji wa cells mpya (ambazo zina sifa zote za kansa)...

Kama utapata muda soma mtandaoni kitu kinaitwa "oncovirus"...

Braza nimekusoma,
Thanks.
 
Ina raha yake hiyo kitu,lakini hafanyiwi kila mtu,na mkiwa faragha lazima mfurahishane kisawasawa sio kwakuripua,mdogo mdogo hadi mwenzio anaisikilizia..............lol

Umenigusa ndipoooo yakheeee! Nakupa LIKE zote utakazoo,...
 
Back
Top Bottom