Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kwa mwendo huo mbona watapona wazee tu..hiyo hatari.,
 
Kuhusu filamu hizo madakati hao walisema kwamba, watu wanaoigiza katika picha mbalimbali wanakuwa chini ya uchunguzi wa watalaam wa afya, kabla na baada ya kurekodi filamu, tofauti na watu wanavyo dhani kwamba wale kweli ndiyo tabia yao na pengine ni watu waliokutana na kuanza kunyonyana ovyo

Hili ndo watu wengi hawalijui au wanajitoa ufahamu tu

Na nyie wanawake acheni kushadadia kunyonywa basi, manake nyie ndo wasababishi wakubwa, waoneni kwanza!! mfyuu zenu!!!!
 
Kudadadeki hiyo midonda mdomoni ni balaa.
Ila huyo wa kushoto ni kama ana vidonda mpaka kwenye macho sasa sijui aliingiza mpaka kichwa kiasi cha kuambukizwa mpaka machoni au ndo ugonjwa umesambaa mpaka machoni.
Ahsante sana kwa somo zuri sana hili.

Kama alikutana na mtera je
 

nyie ndo mnatusababishie

nimewatukana hapo juu kwa ujumla wenu aaaaah mi ntaendelea na ushamba wangu tu, usiporidhika nenda tu kwa mwingine kiroho safi aisee
 
Chumvini !!!!!!!!!!!!!!! kwanini kunaitwa chumvini ??????????
 
nyie ndo mnatusababishie

nimewatukana hapo juu kwa ujumla wenu aaaaah mi ntaendelea na ushamba wangu tu, usiporidhika nenda tu kwa mwingine kiroho safi aisee

mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe. unafanya kile unachochagua, hakuna wa kumsingizia.
 
Kwa sababu humu ni watu wazima na hakuna haja ya kuficha na ili tupone,kuna virus vijulikanavyo kama Human papiloma pamj na systemic according to Dr Innocent Mosha kutoka muhimbiri imebainika virus hivyo husababisha kansa ya mdomo ambayo chanzo chake hutokana na kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo yaani kunyonyana sehemu za siri iwe kwa me au ke,unaweza usione hatari yake kwa sasa ila baadae sana,tuone picha za madhara yake hapo chini.

mmmh JF kuna mengi, nimekoma maana ndo ilikua michezo yangu hiyo, sa hv ni mwendo wa vidole tu au kidole nacho kitapata kansa.!
 
Uvinza uvinza tu asikwambie mtu aisee kwanza goma likichanganya wala huwazi hayo
Ila mi simezi, natemaga yale madude.
 
Wadau nimekua adicted na kuzama uvinza kwa mke wangu.

Je, kuna madhara nitakayoyapata kiafya mdomoni?
 
Mimi mwenyewe ni mkurugenzi mtendaji wa wapiga deki wote tanzania na bado sijapata madhara mkuu
 
...zama tu mpaka topeni, kama kuna madhara subiri yakikupata utajua sasa....
 
Back
Top Bottom