Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Acha tuendelee na raha zetu wewe endelea kuogopa kipindupindu
 
N
Tuachie starehe yetu banaaa. Ingekuwa hivyo basi kipindupindu ingekuwa ni ugonjwa ulioathiri dunia nzima kwa kiasi kikubwa.
Mwaache huyo bado mtoto mdogo hajui raha ya kwenda chumvini
 
wakati anapita pita kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii niliona bango limeandikwa CHUMVINI na nikaambiwa ni kijiji kipo tanga. naomba kwa anayepafahamu anambie ni biashara gani nzuri naweza kufanya kijijini hapo kwasababu "napenda sana siku moja niende CHUMVINI nikaishi huko"
 
Ngoja waje wakwambie waliowahi kwenda
 
wakati anapita pita kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii niliona bango limeandikwa CHUMVINI na nikaambiwa ni kijiji kipo tanga. naomba kwa anayepafahamu anambie ni biashara gani nzuri naweza kufanya kijijini hapo kwasababu "napenda sana siku moja niende CHUMVINI nikaishi huko"
biashara nzuri hapa chunvini ni mipira ya kiume (condom). njoo utafanya biashara nzuri tu
 
siku hizi hizi chumvini hakuna fursa, nakushauri uhamie tigoni ndo kuna kufaa zaidi
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
There is much more truth that you are blind to...
 
Mi nimekuja kukushangaa,sioni ulicho kimbilia.

Najiuliza ni hiyo mada ya chumvini au ni front seat? MAANA VYOTE KWANGU HAVINA MAANA
 
Back
Top Bottom