God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Sizami chumvini hata nikipewa hela ya makontena yote ya bandarini
kwa nn mkuu, mkasa gani ulikupataSizami chumvini hata nikipewa hela ya makontena yote ya bandarini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sizami chumvini hata nikipewa hela ya makontena yote ya bandarini
kwa nn mkuu, mkasa gani ulikupataSizami chumvini hata nikipewa hela ya makontena yote ya bandarini
natamani kuona mdomo wako mkuuhata kama ungesema israil Yuko pale nisingeacha kuzama. Watu tunaitwa Wakurugenzi sababu ya Uzamaji chumvini harafu wewe unaleta sababu mufilisi
we sio bure unamatatizo ww nenda hospitaliChumvini no,hata ningepewa mahela yote ya Bill Gate.
Mwaache huyo bado mtoto mdogo hajui raha ya kwenda chumviniTuachie starehe yetu banaaa. Ingekuwa hivyo basi kipindupindu ingekuwa ni ugonjwa ulioathiri dunia nzima kwa kiasi kikubwa.
Dakika 3 wewe umekuwa kuku?Mweeee starehe ya dk 3 inapoteza muelekeo wa maisha.Bwana YESU atusaidie.
Ngoja waje wakwambie waliowahi kwendawakati anapita pita kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii niliona bango limeandikwa CHUMVINI na nikaambiwa ni kijiji kipo tanga. naomba kwa anayepafahamu anambie ni biashara gani nzuri naweza kufanya kijijini hapo kwasababu "napenda sana siku moja niende CHUMVINI nikaishi huko"
biashara nzuri hapa chunvini ni mipira ya kiume (condom). njoo utafanya biashara nzuri tuwakati anapita pita kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii niliona bango limeandikwa CHUMVINI na nikaambiwa ni kijiji kipo tanga. naomba kwa anayepafahamu anambie ni biashara gani nzuri naweza kufanya kijijini hapo kwasababu "napenda sana siku moja niende CHUMVINI nikaishi huko"
Te te teeeeeeeeee bonge la jibusiku hizi hizi chumvini hakuna fursa, nakushauri uhamie tigoni ndo kuna kuvaa zaidi
Haya tuambie,la maana ulilokimbilia hapo ni lipi?Nimefika haraka hapa kwny kitengo changu
Kwani la maana lipi lilikuleta ww hapa?Haya tuambie,la maana ulilokimbilia hapo ni lipi?