Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

nenda ukaonje utapata majibu ya maswali yako yote

Siwezi kwenda kwani madhara yake ni makubwa,kuna jamaa yangu alikuwa na mchezo wa kwenda chumvini baadae akaja kupata fangasi za midomo.Vp ww Dr wa ukweli huwa unaenda huko chumvini?
 
Siwezi kwenda kwani madhara yake ni makubwa,kuna jamaa yangu alikuwa na mchezo wa kwenda chumvini baadae akaja kupata fangasi za midomo.Vp ww Dr wa ukweli huwa unaenda huko chumvini?

Sasa uliuliza ili iweje????
 
Siwezi kwenda kwani madhara yake ni makubwa,kuna jamaa yangu alikuwa na mchezo wa kwenda chumvini baadae akaja kupata fangasi za midomo.Vp ww Dr wa ukweli huwa unaenda huko chumvini?

kumbe wajua madhara yake sasa wataka kujua nini tena<?
 
Wataalamu wa masuala ya afya wanasema kwenda chumvini kuna madhara makubwa,hivyo kama unaenda acha kabisa ili kujinusuru na magonjwa mbali mbali.

Acha kudanganya uma kijana!!
 
umetokea wapy wewe isje ikawa mzee anaoga kasahu kulog out ukaingia na kutupia upupu wako hapa kume ni under 18.
 
hoja nyingine bwana.!!!! unaweza kukuta ashawahi kufanya hivyo afu anauliza......... kwa kifupi ni kwamba watu wanaenda sana.... utamu wake unaujua lazima.
 
hoja nyingine bwana.!!!! unaweza kukuta ashawahi kufanya hivyo afu anauliza......... kwa kifupi ni kwamba watu wanaenda sana.... utamu wake unaujua lazima.

Sijui utamu wake kwani sijawahi jaribu na haitotokea nikajaribu.
 
Sijui utamu wake kwani sijawahi jaribu na haitotokea nikajaribu.
labda uliwahi jaribu ukapata madhara na unajaribu kuona kama na wengine wanapata. Jibu ni HAPANA ni wewe tu na wenzio wachache, wengine tunaenda kama kawa na ni full kupeana raha. Halafu kama una majibu ya maswali yako ni vizuri ukawa unajiuliza na kujijibu
 
Du mimi sitaacha, km m2 mwenyewe namwamini ningia kote
 
Ndugu wa jf wenzangu,eti kwenda chumvini kunakofanywa na baadhi ya wanaume kuna faida gani?na kwa nini watu wanaenda chumvini?kwani kuna nini huko?

Jiepushe na magonjwa yatokanayo na hepatitis. Utapata cancer ya koo
 
chumvini kama ni kwa mkeo ruksa!

kwingine utakua unajitafutia magonjwa tu
 
Siwezi kwenda kwani madhara yake ni makubwa,kuna jamaa yangu alikuwa na mchezo wa kwenda chumvini baadae akaja kupata fangasi za midomo.Vp ww Dr wa ukweli huwa unaenda huko chumvini?
sio kila mwanamke unaweza kumwendea chumvini.kuna wengine wachafu hawajisafishi,ila ukimpata anaeujua usafi na umaridadi hapo hakuna fangas wala nini,naskia pia mwanamke anapata raha kubwasanasanasana ukimtembelea chumvini,ila mimi siendi chumvini.
 
Back
Top Bottom