Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

kulamba koni ni kumnyonya mwanamme korodani zake au gololi(kwa kilatini huitwa fellatio au minyet)na kwenda chumvini ni kumnyonya mwanamke uchi(kwa kilatini huitwa cunnilingus).Haya yote ni vionjo vya penzi ambavyo husaidia wote wawe tayari kwa penzi.Wenzetu wazungu(hata weusi wa nje)pia humnyonya mwanamke/mwanamme mpaka sehemu ya aja kubwa(hii huitwa rumming).Haya hayamhusu asiye na nguvu za kiume tu bali wote. Moja ya madhara ya haswa cunnilingus ni kuambukizana maradhi ya fangasi(utando mweupe mdomoni)kama mwanamke atakuwa si msafi,pia kwasababu ya ukaribu wa maumbile ya mwanamke,kuna hatari ya kula haja ya mwanamke jambo ambalo laweza kupelekea kupata maambukizi ya bacteria wa salmonella au E.coli ambao husababisha kuhara

aisee watu mko deep sana.. hii ya watu kunyonya hadi haja kubwa kuna mtu ana experience atumegee? sipati picha kabisa:fear:
 
kulamba koni ni kumnyonya mwanamme korodani zake au gololi(kwa kilatini huitwa fellatio au minyet)na kwenda chumvini ni kumnyonya mwanamke uchi(kwa kilatini huitwa cunnilingus).Haya yote ni vionjo vya penzi ambavyo husaidia wote wawe tayari kwa penzi.Wenzetu wazungu(hata weusi wa nje)pia humnyonya mwanamke/mwanamme mpaka sehemu ya aja kubwa(hii huitwa rumming).Haya hayamhusu asiye na nguvu za kiume tu bali wote. Moja ya madhara ya haswa cunnilingus ni kuambukizana maradhi ya fangasi(utando mweupe mdomoni)kama mwanamke atakuwa si msafi,pia kwasababu ya ukaribu wa maumbile ya mwanamke,kuna hatari ya kula haja ya mwanamke jambo ambalo laweza kupelekea kupata maambukizi ya bacteria wa salmonella au E.coli ambao husababisha kuhara

Mmmmmmh!!! Mtanisamehe tu!!!
Hapa inabidi Mshipa wa Kinyaa uwe umekatika au?
Mmmmh!!!! Ni mimi tu lakini.
 
Mimi hilo la kulambwa koni silazimishi, anayefanya nitamshukuru kwani ninapenda sana, lakini huko unakokuita kuzama chumvini....oooooh! hiyo nitaomba, nitashawishi, ikibidi nitalia mpaka niruhusiwe. What a pleasure! Utamu wa ngoma ingia ucheze!

Umenichekesha!!!!!
Dah!!!
 
  1. wadau wa mahusiano, mapenzi na urafiki... kuna kitu kina nitatiza!!! nini maana hasa ya mwanamke kulamba koni?? katika pita pita zangu niliambiwa njia hii utumika kuamsha hisia kwa jamaa ambao jogoo alisimami... Je nilazima kwa mwanamume anayesimamisha ipasavyo kulambwa?

    Na wanaume nini hasa muntadha wa kwenda chumvini? nini faida hasa? je ni lazima? napata shaka kwamba tumeathirika na mitandao na picha za ngono zisizo asili ya MWAFRIKA!!!!
    Kwa mtazamo wangu kuna sehemu nyingi sana za kugusana kama ni kupandishana mzuka na sio kwenda chumvini au kulamba koni... wadau nifahamisheni kwani wiki hii nimeambiwa nisipo kwenda chumvini game hakuna:redfaces:

    It is a matter of choice. Ukiona kuzama ni sawa zama. Ukiona koni ni poa ilambe. Maisha yanabadirika kwa kasi sana na kimsingi hakuna tena maisha ya kiafrika kwa sasa. Maisha yote ni ya kizungu ndiyo maana tupo kwenye mtandao ambao ni wa KIDHUNGU!
 
kulamba koni ni kumnyonya mwanamme korodani zake au gololi(kwa kilatini huitwa fellatio au minyet)na kwenda chumvini ni kumnyonya mwanamke uchi(kwa kilatini huitwa cunnilingus).Haya yote ni vionjo vya penzi ambavyo husaidia wote wawe tayari kwa penzi.Wenzetu wazungu(hata weusi wa nje)pia humnyonya mwanamke/mwanamme mpaka sehemu ya aja kubwa(hii huitwa rumming).Haya hayamhusu asiye na nguvu za kiume tu bali wote. Moja ya madhara ya haswa cunnilingus ni kuambukizana maradhi ya fangasi(utando mweupe mdomoni)kama mwanamke atakuwa si msafi,pia kwasababu ya ukaribu wa maumbile ya mwanamke,kuna hatari ya kula haja ya mwanamke jambo ambalo laweza kupelekea kupata maambukizi ya bacteria wa salmonella au E.coli ambao husababisha kuhara

Ni rimming (Yaani kwenye rim), wasije watu wakaenda kuomba rumming huko ikawa balaa :smash:
 
Nashukuru kwa waliochangia ujumbe ambao nimeondoka nao ni kulamba tuuuuuu sasa ngoja yeye mwenyewe atakoma!!!
 
Umeniudhi kwa unafiki wako, unajifanya hujui, mara tena hapo chini wewe mwenyewe unatoa mchanganuo, wewe endelea kuzama chumvini kama ulivyozoea usituzuge hapa, ila angalia yasikukute ya mwenzio aliyewashwa mdomo mwezi mzima!

Huyu anatuenjooooyyy vile tunahangaika wakati kila kitu anakijua watu wengine bana haya hongera sana
 
hakuna raha kama kulamba koni,wakimfungia bakhresa ntaandamana:lol:
 
Huyu anatuenjooooyyy vile tunahangaika wakati kila kitu anakijua watu wengine bana haya hongera sana

Dena Amsi nashukuru na ama kwa hakika nimekuwa nifuatilia majibu yako muda mrefu... kumbuka nimekuwa humu tangu 2009. Nimeshuudia wadau wakitoa majibu vizuri sana na ninapenda post zako sana sana. Lakini upande mwingine wa shilingi uaonekana kujibu oja bila kuwa makini na mara nyingi nakuona una rukia hoja kwa jaziba. Mandela alisema ni bora uwe na mtu mmoja anayekupinga kuliko kuwa na watu kumi wanakupongeza kumbe hakuna kitu. Ni mtazamo tu mie siwa enjoy am very serious sana sana na kumbuka situmii umeme na computure ya shirika. Gharama hizi ni personal badala ya kunywa bia natenga muda wangu kutembelea JF. Please changia kama una hoja kama huna waachie wenye hoja wajimwageeee.
 
Back
Top Bottom