Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Duh! kunyonya K sio salama mkuu kwa afya yako,ila kuna watu wanapenda hiyo michezo ya Magharibi ya kunyonya K utafikiri K ina chemchem ya Cocacola au GrandMalta,na washauri waache lasivyo cancer ya koo ipo around the corner wajiandae kujiuguza!
 
Binafsi sikushauri kunyonya uchi.....kuna side effects nyingi nadhani unazitambua na nyingine kuna wadau wamechangia hapo. Tatizo linakuja kwa huyo ulienae hukuanza nae, so mtu wake wa mwanzo before yeye alikua anamnyonya na alikua anaenjoy sana, sasa wewe ukijifanya hutaki lazma achepuke tu na hatakua na hisia na wewe, atakupa kukuridhisha tu, pia kama ni mkeo au mpenzi wako, anaweza akawa anachepuka na kufanyiwa hvo sasa wewe jifanye mstarabu wenzio wakusaidie kazi, kuna watu hawana kinyaa aisee hadi maeneo yote kuzunguka mk........NDU wananyonya, /////// Binafsi sijawahi kunyonya huko, hata tutoke kuoga wote mdahuo huo siwezi, may be huko mbeleni nikioa ntajaribu... never try kuna madhara sana, wachia mbali zile k nyingine zinatoa unyevu unyevu mda wote, plus mtindi, kha...
 
Ndiyo nikasema inategemea ntu na ntu Mkuu. Cancer ya koo imeongezeka sana miaka ya karibuni na chanzo kikubwa ni kunyonya papuchi. Wapo warembo na njemba wapo addicted na hii kitu hawawezi kuacha asilani. Nasikia wengine huvaa kitu kama ndom kwenye ulimi ili kupeana maraha ya duniani.
Dah hizo zana zinauzwa mkuu? Au wanatumia mifuko ya Rambo[emoji1]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Zipo Mkuu ila sijui kama zinatumiwa na wengi.

How To Use A Dental Dam As A Barrier For Oral Sex. Dental dams are latex or polyurethane sheets used between the mouth and vagina or anus during oral sex.

Dah hizo zana zinauzwa mkuu? Au wanatumia mifuko ya Rambo[emoji1]
Dah hizo zana zinauzwa mkuu? Au wanatumia mifuko ya Rambo[emoji1]
 
Ndugu zangu nimeona mjadala unsohusu unyonyaji wa uchi kama kumuandaa mwanamke kwa mapenzi. Je ni sahihi? He ni salama? He uwepo wa acid uliopo ukeni ni sahihi kwa usalama wa vinywa vyetu? He ni mapenzi au ulafi wa kungonoka? Je si sababu ya matatizo ya vinywa vinavyowatafuna vijana wengi kwa sasa?? Je kumtongoza mwanamke kwa njia za kistaarabu na kumpapasa haitoshi kuwa njia pekee ya kumuandaa mwanamke kwa mapigo ya uanaume??
Tena mm uwa ananikalia uson kbsaaa... Kwa ufupi, cwez kuridhika bila kuzama chumvin... Mana c mke wangu jaman! Ila yy uwa cpend aninyonye dushe
 
Hakuna msichana/mwanamke asiyependa haka kamchezo, shemeji/wifi yenu alikuwa hapendi kabisa haya mambo nikienda down alikuwa anakasirika sana na hakuwahi kuniruhusu, la haulaaah siku kalegeza nikazama kunapo uvinza wallah saizi humwambii kitu kabisa anapenda haka kamchezo kama nini sijui nahisi siku asipokapata kwangu atatafuta tu wakumfanyia hivi, N:B Si kila kinachofanywa na watu lazima na wewe ufanye vingine kubali kuwa muangaliaji tu.
 
bro hiyo kitu si salama kabisa kwa sababu zifuatazo, kwenye Vagina kuna normal flora kwa ajil ya ulizi wa maeneo haya but wakihamishwa mazingira ambayo si rafiki mfano ndo wamehamia mdomoni kutoka kwenye Vagina watakacho kifanya ni kushambulia normal flora wa pale then kuna uwezekano mkubwa wa kupata Kansa ya koo vile vile normal flora wako wa mdomoni watabaki kwenye vagina pia wanaweza kushambulia na kusababisha kansa ya lango wa kizazi Pia kuna HPv ni virus mbaya sana ambae anapatika maeneo hayo
 
sio salama ikitokea manyoya yakaingia kwenye mfumo wa hewa au mapafu,utatumia dawa zote za vikohozi na hata kifua kikuu bila kupona,na kila utakapokuwa unakohoa kila mtu aliye karibu nawe atakushangaa.
Hahaha hahaha hahaha
 
MIMI NILIKUWA NA HYO TABIA, LIPS ZANGU ZIKAANZA KUTENGENEZA UTANDO MWEUPE, SIKU MOJA NILIENDA HOSPITALI, ILE DOKTA KUNIONA TU AKANAMBIA NIACHE TABIA YA KUNYONYA UCHI. AKANIPA DAWA, KUANZIA SIKU HYO SINYONYI UCHI.

MAFANGAZI
UTI
BAKTERIA WA KILA AINA
MWISHO KUPATA KANSA, WANAWAKE WENYEWE WANATEMBEA NA WANAUME WENG..
 
K kama limepigwa presha carwash halina shida manake kwanza linakua na kaharufu flan hvi ka asili mi pale najirambiaga tuuuuu yan nkitoa mle ni kama nimekuka mayonaise
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Ndugu zangu nimeona mjadala unsohusu unyonyaji wa uchi kama kumuandaa mwanamke kwa mapenzi. Je ni sahihi? He ni salama? He uwepo wa acid uliopo ukeni ni sahihi kwa usalama wa vinywa vyetu? He ni mapenzi au ulafi wa kungonoka? Je si sababu ya matatizo ya vinywa vinavyowatafuna vijana wengi kwa sasa?? Je kumtongoza mwanamke kwa njia za kistaarabu na kumpapasa haitoshi kuwa njia pekee ya kumuandaa mwanamke kwa mapigo ya uanaume??
ww unaonaje kwani, hembu tuambie ww unavoona kwanza alafu nasi tukupe maoni yetu
 
Ndugu zangu nimeona mjadala unsohusu unyonyaji wa uchi kama kumuandaa mwanamke kwa mapenzi. Je ni sahihi? He ni salama? He uwepo wa acid uliopo ukeni ni sahihi kwa usalama wa vinywa vyetu? He ni mapenzi au ulafi wa kungonoka? Je si sababu ya matatizo ya vinywa vinavyowatafuna vijana wengi kwa sasa?? Je kumtongoza mwanamke kwa njia za kistaarabu na kumpapasa haitoshi kuwa njia pekee ya kumuandaa mwanamke kwa mapigo ya uanaume??
Kama una Babu muulize kama yeye alikuwa anafanya hiyo kitu.Kama alikuwa anafanya na yupo hai mpaka sasa,basi hiyo kitu ni salama,jiunge na club
 
Back
Top Bottom