Graca
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 471
- 152
Ila si lazima waliopo kwenye ndoa,hata mahawara na wapenzi nao mjaribu kuwa wabunifu.
kweli kabisa umenena,halafu unajua hawa wanaume wajanja wakiwa wamevaa nguo tu, ufundi kidogo tu kitandi yaani anakuwa kama mtotot mchanga kila kitu anakubali,,lol