Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Tanzania, moja kati ya mataifa ambayo yameletewa dini na wakoloni.
Waarabu walileta Uislamu ukanda wa pwani.
WAjerumani wakaleta Ulutheri-dini ya Martin Luther.
Wamarekani wakaleta ULokole-TAG
Waitaliano wakaleta dini ya Kirumi ikaitwa roman Catholic.
Wasabato wameanishwa na William Miller , mzungu huyu.
Hizi dini zote zimekuja na mapokeo.
Sasa, kwa Waarabu wabnaoishi jangwani na nchi za joto, kwao mwili ulikuwa unaoza ndani ya masaa matano, hivyo wakapitisha sheria kuwa uzikwe muda tu mtu anapofariki lakini kosa ni kwamba sasa imekuwa dunia nzima hata kama mngeweza kusubiri.
JE, tuendelee kuwafuatisha waarabu au tubadilike?