Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Tanzania, moja kati ya mataifa ambayo yameletewa dini na wakoloni.
Waarabu walileta Uislamu ukanda wa pwani.
WAjerumani wakaleta Ulutheri-dini ya Martin Luther.
Wamarekani wakaleta ULokole-TAG
Waitaliano wakaleta dini ya Kirumi ikaitwa roman Catholic.
Wasabato wameanishwa na William Miller , mzungu huyu.
Hizi dini zote zimekuja na mapokeo.
Sasa, kwa Waarabu wabnaoishi jangwani na nchi za joto, kwao mwili ulikuwa unaoza ndani ya masaa matano, hivyo wakapitisha sheria kuwa uzikwe muda tu mtu anapofariki lakini kosa ni kwamba sasa imekuwa dunia nzima hata kama mngeweza kusubiri.
JE, tuendelee kuwafuatisha waarabu au tubadilike?
Ni lini mtu mweusi aliwahi kusimama mwenyewe bila ya kuogopa mambo ya kufikirika yatamchukuliaje.
We are doomed
acheni kufuatisha mila na tamaduni za kiarabu, pelekeni maiti mochwari kusubiri ndugu na jamaa waje kushiriki mazishiKwani wakifa wao wewe unapungukiwa nn ?
acheni kufuatisha mila na tamaduni za kiarabu, pelekeni maiti mochwari kusubiri ndugu na jamaa waje kushiriki mazishi
Naona umejitoa kabisa, wewe utakuwa kutoka Far East mkuu.Sio kuwafuatisha waarabu tu ni kipi mnaweza kufanya bila kjfatisha waarabu au wazungu?
Hizi simu tu mmefatisha hao wazungu.
So nyie mnafatisha kila kitu mpaka kiama labda ujinga tu ndo wenu wenyewe.
Mgalatia una tabu sana , achana na paulo kwanza wewe ili akili ikae sawaacheni kufuatisha mila na tamaduni za kiarabu, pelekeni maiti mochwari kusubiri ndugu na jamaa waje kushiriki mazishi
Kwahiyo Uislamu unatambuwa kuna dini nyingine?Qur’an 109
1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.