Kuzinduliwa kwa kituo cha makumbusho ya rais mstaafu Barack Obama

Si uangalie kwanza ili usionyeshe ujinga na kukurupuka mwanangu. Kwa wabongo kila kitu udhamini! Kwa Marekani, kuwa na taasisi ya kirais ni haki ya kikatiba.
Nilitaka kufanya hivyo lakini najua tu kuwa hawatumii kiswahili hivyo ningetoka kama nilivyoingia. Anyway, malengo haswa ni nini? Hakimchonganishi na utawala uliopo?!! Kinaroa ajira?!! Kina Clinton/Bush nao waliahzisha walipotoka madarakani?!! Faida yake kwa USA mzima ni nini?!!!
 
Ni yale yale kama ya marais wengine waliotangulia. Jitafitie mwanangu uache kuuliza majibu badala ya maswali. Kkkk !
 
Back
Top Bottom