Kuzuia gypsum isiharibike na kuvuja kwa matone kiasi ya maji kutoka kwenye paa

Kuzuia gypsum isiharibike na kuvuja kwa matone kiasi ya maji kutoka kwenye paa

Tabulele

Senior Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
147
Reaction score
278
Habarini wadau.

Nimemaliza kuezeka ila kwa hizi mvua zikinyesha sana na ikiwa na upepo, kuna dalili ya matone ya mvua /maji naona yanadondoka kwa ndani. Japo mvua ikiwa sio ya upepo hio kitu siioni.

So nataka kuanza kufunga gypsum board nawaza nifanyeje kabla sijaanza hio kazi. Ili kama mvua za upepo zikipiga basi yale matone ya maji yasiharibu board. Je, kuna namna naweza kufanya ili ikitokea niilinde board isiathiriwe na matone hayo ya maji

Asanteni.
 
Back
Top Bottom