Kuzuia mashabiki kuingia uwanjani, Mwafrika ana tatizo la kufikiri

ni jibu kwanza swali hili. mechi ya simba na el mereck pia as vita timu za nyumbani hazikuwa na mashabiki je yalikuwa ni maelezo toka CAF?
Hapo awali kuna timu gani nyingine ukiachana na Simba, imecheza mechi zake huku wakiruhisiwa mashabiki kuwepo uwanjani? Hivyo saivi wamewaruhusu kwavile hawakuwa wanaingiza mashabiki hapo mwanzoni hivyo wamewaruhusu kwa idadi ndogo ya mashabiki. Hata hao wanaocheza nao wakiomba kuruhusiwa idadi kadhaa ya mashabiki watakubaliwa kwa idadi ambayo CAF wataona inastahili. Kwahiyo hata Al Ahly anacheza na As Vita, Congo wanaweza kurusiwa kucheza na mashabiki kadhaa huko Misri.
 
Ujajibu swali langu CAF waliwakataza kuingiza mashabiki?
 
kwanini simba wasikate rufaa.caf wametumia kanuni ipi? na kwann Awali haikuoneka na ubaya.
spectators distance sio business ya caf..

wao wanahusika na wachezaji na match officials tu.
mengne ni kushndwa kujua mipaka yao wao kama shirikisho.

Kama ni fairness soka la afrika ndio hakuna kabisa
 
Hii imekuja baada ya uongozi mpya wa CAF kuingia Madarakani hivyo tutegemee kuona Vituko vingi.

Pia TFF na Simba wamelegea sana juu ya hili swala. Lakini pia nyuma ya panzia yawezekana kuna Kafitna kamefanyika maana mafanikio ya simba yanawakera wengi.
Hakuna fitna wa nini! Simba waliruhusiwa kuingiza mashabiki 30,000 na wafuate guidelines za kujikinga na corona kama social distance nk, viongozi wa Simba na akina Karia kwa uroho wao wa pesa wakaingiza watu almost 50,000! sasa unawalaumu CAF kwa lipi!
 
Mkuu una uhakika na hiyo idadi ?
 
Back
Top Bottom