Kuzuia No Reforms No Election tubadilishe sheria tuwe kama Singapore?

lord atkin

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
257
Reaction score
922
Nchini Singapore kwa mujibu wa sheria kupiga kura ni lazima. Kila mwananchi ana jukumu la kupiga kura na mwananchi ambaye hatashiriki kupiga kura bila sababu ya msingi kama vile ugonjwa au kuwa nje ya nchi jina lake linaondolewa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Ili kulirudisha jina lake kwenye daftari la wapiga kura kwa siku za baadaye atalazimika kulipa faini kubwa au kuleta maelezo na uthibitisho wa kwanini hakupiga kura.

My take: Napendekeza kiwango cha fine kiwe milioni moja, mwaka 2030 kila mtu atashiriki uchaguzi.
 
Nchini Singapore kwa mujibu wa sheria kupiga kura ni lazima. Kila mwananchi ana jukumu la kupiga kura na mwananchi ambaye hatashiriki kupiga kura bila sababu ya msingi kama vile ugonjwa au kuwa nje ya nchi jina lake linaondolewa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Ili kulirudisha jina lake kwenye daftari la wapiga kura kwa siku za baadaye atalazimika kulipa faini kubwa au kuleta maelezo na uthibitisho wa kwanini hakupiga kura.

My take: Napendekeza kiwango cha fine kiwe milioni moja, mwaka 2030 kila mtu atashiriki uchaguzi.

Suala sio kushiriki, kwa kanuni, taratinu na sheria zipi?
 
Nchini Singapore kwa mujibu wa sheria kupiga kura ni lazima. Kila mwananchi ana jukumu la kupiga kura na mwananchi ambaye hatashiriki kupiga kura bila sababu ya msingi kama vile ugonjwa au kuwa nje ya nchi jina lake linaondolewa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Ili kulirudisha jina lake kwenye daftari la wapiga kura kwa siku za baadaye atalazimika kulipa faini kubwa au kuleta maelezo na uthibitisho wa kwanini hakupiga kura.

My take: Napendekeza kiwango cha fine kiwe milioni moja, mwaka 2030 kila mtu atashiriki uchaguzi.
How does this address the underlying issues?
 
Ila huko Singapore, washindi hawapatikani kupitia Wakurugenzi.

Kinachodaiwa hapa ni Free and Fair Election. Hivi wapi ni pagumu kuelewa hapo ....!!?
 
huku kila mtu atalipa hiyo faini mana hata usipo piga unapigiwa mfano mwaka jana umepiga wewe lakini kilichofanyika
 
Nchini Singapore kwa mujibu wa sheria kupiga kura ni lazima. Kila mwananchi ana jukumu la kupiga kura na mwananchi ambaye hatashiriki kupiga kura bila sababu ya msingi kama vile ugonjwa au kuwa nje ya nchi jina lake linaondolewa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Ili kulirudisha jina lake kwenye daftari la wapiga kura kwa siku za baadaye atalazimika kulipa faini kubwa au kuleta maelezo na uthibitisho wa kwanini hakupiga kura.

My take: Napendekeza kiwango cha fine kiwe milioni moja, mwaka 2030 kila mtu atashiriki uchaguzi.
Kura za wananchi zikiheshimiwa kila mtu atapiga kura. Huwezi chezea kura za watu na utegemee utitiri wa watu vituoni.
 
Back
Top Bottom