Habari zenu wakuu.
Ndugu yangu amezuiliwa kufanya oral interview kwa sababu ya utofauti wa majina. Majina kwenye vyeti vya taaluma na Nida yapo sawa. Jina lake katika cheti cha kuzaliwa lipo tofauti kidogo. Kaenda na Affidavit ya kukonfirm kua majina yote hayo ni yake.
Written interview aliingia na kufanya vizuri tu bilaa shida na mtihani alifaulu kwa marks za juu. Leo kaenda kufanya oral kazuiliwa kuingia na documents zake zote anazo.
Tumepiga simu Utumishi wamepokea, tumewapa scenario yote na wakaomba hayo majina yake then wakasema ngoja wafanye mawasiliano na wasimamizi wa kituo anachofanyia usaili, interview atafanya tu asiwe na shaka as long as ana kiapo chake(Affidavit).After. 5 minutes watampa go ahead.
Ila mpaka sasa simu hawapokei mara ipo busy! na usaili unakaribia kuisha baadhi ya candidates wameshatoka.
This is unfair na inaumiza sana.Najua humu kuna watu wamepitia challenge kama hii, mlifanya nini kupatta haki?