Ungebadili taarifa kwenye cheti za kuzaliwa mbona ni Rahisi Sana...Habari zenu wakuu.
Ndugu yangu amezuiliwa kufanya oral interview kwa sababu ya utofauti wa majina. Majina kwenye vyeti vya taaluma na Nida yapo sawa. Jina lake katika cheti cha kuzaliwa lipo tofauti kidogo. Kaenda na Affidavit ya kukonfirm kua majina yote hayo ni yake.
Written interview aliingia na kufanya vizuri tu bilaa shida na mtihani alifaulu kwa marks za juu. Leo kaenda kufanya oral kazuiliwa kuingia na documents zake zote anazo.
Tumepiga simu Utumishi wamepokea, tumewapa scenario yote na wakaomba hayo majina yake then wakasema ngoja wafanye mawasiliano na wasimamizi wa kituo anachofanyia usaili, interview atafanya tu asiwe na shaka as long as ana kiapo chake(Affidavit).After. 5 minutes watampa go ahead.
Ila mpaka sasa simu hawapokei mara ipo busy! na usaili unakaribia kuisha baadhi ya candidates wameshatoka.
This is unfair na inaumiza sana.Najua humu kuna watu wamepitia challenge kama hii, mlifanya nini kupatta haki?
No Reforms No ElectionHabari zenu wakuu.

Go ahead ya nini na unasema hajafanyq?After. 5 minutes watampa go ahead.
Jibu ni HATOFANYA, pigia mstari na ubold.Kuna dogo ananenda naye kufanya wiki ijayo majina alitumia majina mawili shuleni mfano ALEX SIMON yapo kwenye vyeti vya shule ila nida yapo majina matatu ALEX SIMON SAMU ana affidavit kuonyesha majina yote ni yake pamekaaje hapo wasije wakamzingua wadau ushauri wadau
Aiseee mambo ni moto..Jibu ni HATOFANYA, pigia mstari na ubold.
Labda anayekagua asiwe makini, yaani wafukuze wenye kozi zisizo zenyewe exact ila ajiraportal system imekubali, sembuse wabaki na wenye majina tofauti.
Leo ni Alhamisi, Deep Poll inatolewa na Msajiri wa Ardhi pale Magogoni Wizarani. Kwa kawaida inatumia wiki kadhaa au hata miezi, ila ukipata mtu wa ndani hasa Secretaries anakufanyia haraka kama una emergency (sio bure).
Ikitokea unaitaka uwezekano wa kuipata kwa siku mbili upo, ila Ijumaa ndio wanafanya kazi na mwisho kuingia ofisi zao ni saa saba na nusu hivi, Jumamosi sidhani, Jumatatu ndio unaweza pata in case ulikamilisha kuomba na kulipa Ijumaa.
Katika maombi ya kazi yote hakuna sehemu wanataka Affidavity, wanataka Deep Poll.
Mishahara ya Halmashauri ina tofauti na ya wizarani ?Hii nchi yetu kaka hii acha tu akabadil tu hiko cheti cha kuzaliwa kuna muda wanaandaa mianya ya magendo wenyewe
Vyeti vyote vinatakiwa vionyeshe majina yanayofanana ili kuwa na uhakika. Mtego upo kwa ajiraportal nina imani kaingia kwa details za NIDA ambayo kamwe haiwezi kuwa na majina mawili, kwahiyo utumishi wanajua mtu mwenye majina matatu aliyeomba kazi. Sasa wewe unaleta vyeti vya NECTA na chuo vyenye majina mawili lazima uteketee.Aiseee mambo ni moto..
Mie naomba kujua...
Mfano Cheti cha kuzaliwa Jina ni Ccm Chadema Ukawa
Olevel na Alevel Na chuo jina natumia Ccm Ukawa
ijulikane Chadema ni jina la kati /Baba na Ukawa ni jina la ukoo.
Je kuna haja ya deepoll hapo.