Mzee wa Wima
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 537
- 296
Dah Pole sana Mkuu..nadhani ile Malaria ya kichwani haijaisha jitahidi umalize Dozi mkuu..TUTAKOMOANA AISEE.
Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.
Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha maandamano ambayo hayajawahi kutokea Duniani na yasiyo zuilika.
Mmeniadhirisha halafu mnifungie kisa WIVU wa kijinga.
Deogratius Kisandu
Tanzania, East Africa.
TUTAKOMOANA AISEE.

Kama sikosei Shaban Dede na Sikinde yake waliimba tuwe na huruma kwa wagonjwa.Huyu jamaa kusomea digrii ya matahira kumemuaribu sana asee akili zako sio bure kuna waya haupeleki moto vizuri....
huyu jamaa ni mwalimu wa somo gani? hakuna hata mwanafunzi wake humu au clasmates au hata walimu wenzie humu jf ili tujue kama jamaa kashafyatuka au la
Tatizo la nchi yetu hadi wabunge akili zao haziko sawa, sasa ni ngumu sana Taifa lililojaa vichaa kumbaini kichaa.Naomba serikali ifanye juhudi kumtibu huyu jamaa kama waliokaribu yake hawaoni ni kichaa
Kuna wengine mbona wanaongoza hadi Nchi huko nchi za kusadikika.Uchizi wake utakuwa na ahueni maana mpka ameweza kupost Uzi huu tena kwenye jukwaa sahihi
Mimi jamani namwelewa sana Kisandu sijui na mimi na matatizo,maana nashangaa wakati naona jamaa anajieleza vizuri,wakijaribu kukufungia hatutakubaliRED: Sio fair kumshambulia na kumwita mjinga mjinga.. Hii haim-define yeye tu, imeku-define hata wewe pia.
BLACK: Hajakujibu halafu unamshauri hapo hapo. Alikwambia anakaa mwenyewe?
MY TAKE: Kama unahisi anahitaji ushauri, muelimishe kwa upole. Huenda ana tatizo kweli, lakini kwa style hiyo kweli unamsaidia?
Sura kama baskeli!
Siku zote chizi huwaona waliowazima ndio machizi.Mimi jamani namwelewa sana Kisandu sijui na mimi na matatizo,maana nashangaa wakati naona jamaa anajieleza vizuri,wakijaribu kukufungia hatutakubali