Tetesi: Kuzuiwa kufanya Siasa kwa miaka 6, kisa Urais

Tetesi: Kuzuiwa kufanya Siasa kwa miaka 6, kisa Urais

TUTAKOMOANA AISEE.

Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.

Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha maandamano ambayo hayajawahi kutokea Duniani na yasiyo zuilika.

Mmeniadhirisha halafu mnifungie kisa WIVU wa kijinga.

Deogratius Kisandu
Tanzania, East Africa.
Dah Pole sana Mkuu..nadhani ile Malaria ya kichwani haijaisha jitahidi umalize Dozi mkuu..
 
huyu jamaa ni mwalimu wa somo gani? hakuna hata mwanafunzi wake humu au clasmates au hata walimu wenzie humu jf ili tujue kama jamaa kashafyatuka au la
 
images
upload_2017-4-5_16-23-19.jpeg
deo panakuhusu

TUTAKOMOANA AISEE.

Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.

Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha maandamano ambayo hayajawahi kutokea Duniani na yasiyo zuilika.

Mmeniadhirisha halafu mnifungie kisa WIVU wa kijinga.

Deogratius Kisandu
Tanzania, East Africa.
 
Huyu jamaa kusomea digrii ya matahira kumemuaribu sana asee akili zako sio bure kuna waya haupeleki moto vizuri....
Kama sikosei Shaban Dede na Sikinde yake waliimba tuwe na huruma kwa wagonjwa.

Anahitaji msaada na si kuchekwa tena, hii ya leo nimethibitisha pasi na shaka yoyote huyu mtu iko gonjwa.
 
Daaah huyu ticha wa mkolani shule yangu jamani anasikitisha sana
 
Naomba serikali ifanye juhudi kumtibu huyu jamaa kama waliokaribu yake hawaoni ni kichaa
Tatizo la nchi yetu hadi wabunge akili zao haziko sawa, sasa ni ngumu sana Taifa lililojaa vichaa kumbaini kichaa.

Kumbuka ule utafiti wa 1/4 ni bonafide genuine.
 
msaada wa haraka unahitajika kwa huyu jamaaa..........kweli kabisa hayuko timamu
 
Ndo nani huyoo kisanduu? Jinaa sio geni ila cjaweza kujua anajihusisha nanini
 
Uchizi wake utakuwa na ahueni maana mpka ameweza kupost Uzi huu tena kwenye jukwaa sahihi
 
Kuna vitu vinaratibu mfumo wa umeme ndani ya vifaa vya kieletronics vinaitwa capacitor.Mimi nadhani mtanzania mwenzetu huyu kwenye kichwa chake pia inawezekana vitu vinavyofanania na hivyo vimeungua kwahiyo kichwa inashika moto kuliko inavyobidi ndio maana anamwaga mapovu kwa kiwango hichi cha lami
 
Attachments

  • th.jpeg
    th.jpeg
    8.7 KB · Views: 21
Uchizi wake utakuwa na ahueni maana mpka ameweza kupost Uzi huu tena kwenye jukwaa sahihi
Kuna wengine mbona wanaongoza hadi Nchi huko nchi za kusadikika.

Hii kitu ina stage zake na wale wa mwezi mchanga lazima dish licheze.

Usidhani afya ya akili ikiyumba ni lazima uokote makopo wale wanaokuwa hawajitambui kabisa hadi kula majalalani wengi wao ni vichaa vya kulogwa ni mateso wanapewa na binadamu wenzao kwa some strong reason au kwa kukomoana tu.
 
RED: Sio fair kumshambulia na kumwita mjinga mjinga.. Hii haim-define yeye tu, imeku-define hata wewe pia.

BLACK: Hajakujibu halafu unamshauri hapo hapo. Alikwambia anakaa mwenyewe?

MY TAKE: Kama unahisi anahitaji ushauri, muelimishe kwa upole. Huenda ana tatizo kweli, lakini kwa style hiyo kweli unamsaidia?

Sura kama baskeli!
Mimi jamani namwelewa sana Kisandu sijui na mimi na matatizo,maana nashangaa wakati naona jamaa anajieleza vizuri,wakijaribu kukufungia hatutakubali
 
Mimi jamani namwelewa sana Kisandu sijui na mimi na matatizo,maana nashangaa wakati naona jamaa anajieleza vizuri,wakijaribu kukufungia hatutakubali
Siku zote chizi huwaona waliowazima ndio machizi.

Soma comments zako hapa JF kisha chukuwa hatuwa.

By the way milembe ni hospitali ya afya akili na siyo vichaa. Hili neno vichaa ndio linawafanya wengi wenye matatizo ya afya akili muukatae ukweli na kuwa wakaidi kwenda kupima afya ya akili.

Nitapendekeza serikali ipeleke muswada bungeni iwe ni lazima kwa watumishi wote wa umma na wabunge kupimwa afya za akili kama ya kupewa ajila.

Taifa linaingia hasara kubwa kwa sababu maamuzi nyeti yanafanywa na watu wenye matatizo ya akili, hii siyo sawa kabisa.
 
TUTAKOMOANA AISEE.

Nimeambiwa nitafungiwa kufanya kazi za kisiasa kwa miaka 6, lengo nisigombee Urais 2020, nawasubiri mjaribu ujinga wenu.

Kama sitatembea Uchi mpaka Ikulu, basi nitaitisha maandamano ambayo hayajawahi kutokea Duniani na yasiyo zuilika.

Mmeniadhirisha halafu mnifungie kisa WIVU wa kijinga.

Deogratius Kisandu
Tanzania, East Africa.

Mi nailaumu CHHADEMA na BAVICHA yake. Vijana wanakuwa brainwashed kwa kiwango cha kuogopesha.
 
Back
Top Bottom