Tetesi: Kuzuiwa kufanya Siasa kwa miaka 6, kisa Urais

Tetesi: Kuzuiwa kufanya Siasa kwa miaka 6, kisa Urais

Huyu bwana ana dalili zilizo dhahiri za ugonjwa wa akili wa narcissistic personality disorder, serial killers wengi wana dalili hizohizo...kesho akianza kucharanga watu mapanga sote tutaacha kumcheka.
 
Huwezi ata kujiongoza mwenye.....Hujui hata kama wewe ni Mgonjwa...sasa utamuongoza nan? au ni nan ataangaika na wewe?
 
RED: Sio fair kumshambulia na kumwita mjinga mjinga.. Hii haim-define yeye tu, imeku-define hata wewe pia.

BLACK: Hajakujibu halafu unamshauri hapo hapo. Alikwambia anakaa mwenyewe?

MY TAKE: Kama unahisi anahitaji ushauri, muelimishe kwa upole. Huenda ana tatizo kweli, lakini kwa style hiyo kweli unamsaidia?

Sura kama baskeli!
Kichwa chake huyo jamaa
 
Hii jamaa unasumbuliwa na ule ugonjwa unaofahamika kama tzmadaracacasccmmabya
 
kisandu siku moja atakuwa rais wa nchi(this is my prophecy),mkuu deo usinisahau kwenye ufalme wako,there is something great about kisandu.
 
Back
Top Bottom