Halafu kwa kuwa ni mara yako ya kwanza,nakushauri bora ununue gari Show room za hapa kuliko kuagiza.
Mie sijawahi kuagiza gari hata mara moja,na tatizo ni kwamba unavyoina ni tofauti na inavyokuwa.Ukiwa ni mzoefu wa magari basi sio tatizo unaweza kuagiza.Ila kama ndio mgeni bora ununue unachokiona na kwenda na fundi wako.
Bandarini kila siku watu wanauza magari pale,ikiwa gari ya Kutembelea hapo unaweza kuagiza,ila kwa gari ya biashara aisee mie bado sana kufikiriria kuagiza.Naenda mwenye show rooms nakagua kisha fundi anadhibitisha nafanya yangu,safiiiiiiii