Kwa 18m naweza agiza Hiace?

Kwa 18m naweza agiza Hiace?

Kwa ufupi kama unataka ya kuagiza weka kuanzi 23m kwa kima cha chini.
Maana unaweza kuambiwa 20m ila ikifika port ukaja kupewa mikodi mingine ya ajabu,ukienda na usajili na full bima inakimbilia kwenye 25m ili uwe Salama.

Ma Agent wengi wao huangalia pesa ya kufikisha bandarini,then baada ya hapo waanze kukusingua uongeze pesa
Umemshauri vyema kabisa. Hata hivyo sisi tunao uzoefu sasa, na zaidi tunazo calculations za TRA kuhusiana na magari. Kwo nikikwambia kiasi fulani basi nimeshacalculate. Halafu sisi huwa tunapewa ofa na wauzaji wa Japan sabab tunanunua mara kwa mara. Si ajabu gari la CIF 7000 kwetu sisi tukauziwa kwa 6700. So lazima bei ipungue. Karibu kwenye huduma zetu www.kalumbilo.online
 
Kwa ufupi kama unataka ya kuagiza weka kuanzi 23m kwa kima cha chini.
Maana unaweza kuambiwa 20m ila ikifika port ukaja kupewa mikodi mingine ya ajabu,ukienda na usajili na full bima inakimbilia kwenye 25m ili uwe Salama.

Ma Agent wengi wao huangalia pesa ya kufikisha bandarini,then baada ya hapo waanze kukusingua uongeze pesa
hii gari ni kwa ajiri ya daladala mjini, je ni ipi inafaa kati ya manual vs automatic, dizeli vs petrol?
 
Aisee kweli wewe mgeni wa magari,kuwa makini sana usije ukaenda Pm na wajanja,maaana kuna kitu nakiona hapa.
Nunua Manual,tena Diesel,usijuaribu wala kufikiria kununua Automatic au Petrol hata kama itauzwa 10m.
 
Halafu kwa kuwa ni mara yako ya kwanza,nakushauri bora ununue gari Show room za hapa kuliko kuagiza.

Mie sijawahi kuagiza gari hata mara moja,na tatizo ni kwamba unavyoina ni tofauti na inavyokuwa.Ukiwa ni mzoefu wa magari basi sio tatizo unaweza kuagiza.Ila kama ndio mgeni bora ununue unachokiona na kwenda na fundi wako.
Bandarini kila siku watu wanauza magari pale,ikiwa gari ya Kutembelea hapo unaweza kuagiza,ila kwa gari ya biashara aisee mie bado sana kufikiriria kuagiza.Naenda mwenye show rooms nakagua kisha fundi anadhibitisha nafanya yangu,safiiiiiiii
 
hiace kwa ajili ya biashara ya abiria mbona nasikia siku hizi hailipi kutokana na bei zake na vipuri kupanda kwa 100% alafu nauli ewura wanapandisha kwa 25%? nilikua na mpango wa kununua ila baada ya kutafakari nikaacha
 
mi boss nakula hesabu tu
 
Aisee kweli wewe mgeni wa magari,kuwa makini sana usije ukaenda Pm na wajanja,maaana kuna kitu nakiona hapa.
Nunua Manual,tena Diesel,usijuaribu wala kufikiria kununua Automatic au Petrol hata kama itauzwa 10m.
nashukuru mkuu
 
Halafu kwa kuwa ni mara yako ya kwanza,nakushauri bora ununue gari Show room za hapa kuliko kuagiza.

Mie sijawahi kuagiza gari hata mara moja,na tatizo ni kwamba unavyoina ni tofauti na inavyokuwa.Ukiwa ni mzoefu wa magari basi sio tatizo unaweza kuagiza.Ila kama ndio mgeni bora ununue unachokiona na kwenda na fundi wako.
Bandarini kila siku watu wanauza magari pale,ikiwa gari ya Kutembelea hapo unaweza kuagiza,ila kwa gari ya biashara aisee mie bado sana kufikiriria kuagiza.Naenda mwenye show rooms nakagua kisha fundi anadhibitisha nafanya yangu,safiiiiiiii
naona kuna watu wanauza mtandao wanaandika 3L , 5L, nk hii ina maana gani? ipi inafaa?
 
unamaanisha umpe dereva halafu awe anakuletea hesabu?? mkuu hii kitu ni pasua kichwa balaa, mkuu kabla ya kufanya utafiti wa bei za magari na kila kitu anza kufanya utafiti juu ya changamoto za hayo magari kwenye biashara
 
Acheni kumtisha mwenzenu, mimi nimenunua hiace zangu zote kwa njia ya mtandao na nilianza nikiwa sina uzoefu wa aina yoyote. La msingi, chagua kampuni inayoheshimika. Ukiagiza kwa kutumia wabongo, mara nyingi wanaongeza cha juu , lakini ukiagiza moja kwa moja, bado kuna uwezekano wa kunegotiate bei.
Kila la heri.
 
unamaanisha umpe dereva halafu awe anakuletea hesabu?? mkuu hii kitu ni pasua kichwa balaa, mkuu kabla ya kufanya utafiti wa bei za magari na kila kitu anza kufanya utafiti juu ya changamoto za hayo magari kwenye biashara
hadi sasa nina uzoefu na madereva wangu wa bodaboda, ni mzoefu katika bodaboda ila sasa nimeamua kuupgrade kwenye hiace
 
Unahitaji hiace toka nchi gani
 
Back
Top Bottom