Hii umeiandika saa ngapi?Enyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi: 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4
Nafikiri nimeeleweka
Angekuwa ni Carrasco putin, angesema "ikitokea mkashinda hiyo mechi, basi mniite mbwa nimekaa paleπ" ππIsipokuwa hivyo tukuite nani?
Mwenzio anaitwa Ashura..wewe unaitwa nani?Enyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi: 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4
Nafikiri nimeeleweka
KibwengoMwenzio anaitwa Ashura..wewe unaitwa nani?
Sasa hivi wanatumia ndumba la kizigua -handeni- alilokuja nalo Guardiola Mnene badala ya lile la Kigoma kuexpireNawashauri Simba ule uchawi wenu wa kuwasha moto uwanjani na mkapata mnacho stahili kule CAF msije mkaujaribu kule Angola. Hawata wavumilia,Wachezaji wenu watachezea virungu vya kufa mtu. Nendeni mkacheze soka, Yale madawa yenu ya kupulizia vyumbani wasubirieni wakija Bongo. Niko pale, mtanishukuru[emoji28][emoji28
Acha utani, Algore akae matombo?UNAKAA MATOMBO MKUYUNI NINII WEYEEEEEE?
Na ikitokea purukushani hawata amini jinsi kocha Juma alivyo na mbio kuliko wachezaji wake[emoji28][emoji28][emoji28]Sasa hivi wanatumia ndumba la kizigua -handeni- alilokuja nalo Guardiola Mnene badala ya lile la Kigoma kuexpire
HIZO CODE HUWEZI ZIELEWA MZEE WA MATOMBOAcha utani, Algore akae matombo?
2003?! We kweli mwehuSundown wenyewe kwa 1 August walikaa
wale walocheza na sundowns ni petroles atletico si de agosto kweli wewe ni utopoloSundown wenyewe kwa 1 August walikaa itakua makolo? Huu mwaka miti yote itateleza: Afsc na nbc uto wanabeba tena.
Bora Mo aanzishe timu ya mpira wa pete
TumekusikiaEnyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi cha 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4!
Nafikiri nimeeleweka.
Badala ya kubishana na watu mtandaoni, kama unaamini matokeo yatakuwa hivyo, basi afadhali uweke tu mzigo, kampuni nzuri za kubet ni M-bet, Betpawa, Bikosports na hata Betika. Weka kilo tatu yako upate zaidi ya 1M kuliko kubishana na mitandao bure bila malipoEnyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi cha 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4!
Nafikiri nimeeleweka.
Halafu uto wakafika hatua gani? ππ πSundown wenyewe kwa 1 August walikaa itakua makolo? Huu mwaka miti yote itateleza: Afsc na nbc uto wanabeba tena.
Bora Mo aanzishe timu ya mpira wa pete
Sawa mama mchungaji tunashukuru kwa maono yako.Enyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi cha 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4!
Nafikiri nimeeleweka.
Vp mkuu shemela kanuna na kukufungia mapaja umeamua kumalizia hasira kwa Simba. Saa 8 dakika 21 ,a usiku unaanzisha uzi wa kipumbavi namna hiiEnyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi cha 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4!
Nafikiri nimeeleweka.