Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hii umeiandika saa ngapi?Enyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi: 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4
Nafikiri nimeeleweka