mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
We Masanja Mkandamizaji, ungemaliza kwanza haya maswahibu yaliyokupata!Enyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi cha 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4!
Nafikiri nimeeleweka.
Yaan nyie utopolo hata hamjui ni team gan iliyowafunga sundown?yafaa nini sasa kama hata team hamzijui na mnajiita mashabik wa mpira?Sundown wenyewe kwa 1 August walikaa itakua makolo? Huu mwaka miti yote itateleza: Afsc na nbc uto wanabeba tena.
Bora Mo aanzishe timu ya mpira wa pete
sawa mke wa nabiiEnyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi cha 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4!
Nafikiri nimeeleweka.
Jumamosi njoo kwa mkapa uone muarabu wa omduruma akifa kibudu.Halafu uto wakafika hatua gani? ππ π
Sawa nabiiJumamosi njoo kwa mkapa uone muarabu wa omduruma akifa kibudu.
Tayarisheni kabisa barua ya kumfuta kazi huyo Guardioa feki wenuSawa nabii
Tayarisheni kabisa barua ya kumfuta kazi huyo Guardioa feki wenu
Sundowns walitolewa na wababe wa angola wanaitwa petrol atletico de luanda sio hawa agosto waliotolewa na namungoSundown wenyewe kwa 1 August walikaa itakua makolo? Huu mwaka miti yote itateleza: Afsc na nbc uto wanabeba tena.
Bora Mo aanzishe timu ya mpira wa pete