Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Nihakikishie ulinzi na kupita kwenye uchaguzi tutayajenga.
Ndio sababu hata watawale miaka 1000 faida zitokanazo na Rasilimali za Nchi hamtaziona kamwe.
Mikataba ya Siri, vikao vya siri, chaguzi haramu, mikopo ya kumwaga.
Ili kuepuka mtego huo Kiongozi au Chama chake ni lazima kichague njia moja wapo kati ya hizi.
Kuweka mazingira ya kidemokrasia ukubali kushindwa au kushinda kwa halali au ufanye kama tulivyoona hapo juu.
Nawatakia usiku mwema.