Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Miaka 100? Yaani hata baada ya miaka 100 Watanzania watakuwa na akili hizi hizi!Hat hivyo naunga mkono kwa asilimia 100 kuwekeza Bandari ya Dar mikononi mwa Dubai.
Hawa ni watu makini na Rais Samia ameamua kuweka mambo wazi. Tusuke au tunyoe.
Sasa wafanyeje sio Tanzania tu ni Africa nzima.Miaka 100? Yaani hata baada ya miaka 100 Watanzania watakuwa na akili hizi hizi!
Bandari ya Dar mapato yalikuwa yanaishia mikononi mwa watu wazito tu.Miaka 100? Yaani hata baada ya miaka 100 Watanzania watakuwa na akili hizi hizi!
Watu makini wapi ,bongo utopolo umesheheni .Hat hivyo naunga mkono kwa asilimia 100 kuwekeza Bandari ya Dar mikononi mwa Dubai.
Hawa ni watu makini na Rais Samia ameamua kuweka mambo wazi. Tusuke au tunyoe.
Kuna mtu alisema Bandari ni muhimu sana kwa Usalama wa Taifa kwani ni Lango la kuingilia mambo mengi.Watu makini wapi ,bongo utopolo umesheheni .
Yaani mwarabu aje kukuletea ww mbongo faida ,private businesses are run for profit .Wakipata hasara ni serikali ndio itafoot bill .
Kama Kuna wezi wawafunge ,sio kupeana critical infrastructure Kama bandari kwa mwarabu
Unadhani watafanya nini mbele ya Bunduki?Ujinga wa watawaliwa pia ni sababu nyingine kubwa zaidi, hasa kama wanajua maliasili zao zinauzwa lakini hawafanyi chochote kuzuia hilo.
Ni jadi Yao Utawala kwao ni Usultani..😁😁Kama huyu wa Sasa atadumu maana hakuna analoweza zaidi ya kutupiga mnada kwa mabeberu kwa spidi ya umeme.
Babuu miaka sio ishu ishu je faida ipo??Miaka 100? Yaani hata baada ya miaka 100 Watanzania watakuwa na akili hizi hizi!
Haaaa amewapa bandari wajomba?Hat hivyo naunga mkono kwa asilimia 100 kuwekeza Bandari ya Dar mikononi mwa Dubai.
Hawa ni watu makini na Rais Samia ameamua kuweka mambo wazi. Tusuke au tunyoe.
Kudumaza akili zetu kwa miaka 100 kuna faida?Babuu miaka sio ishu ishu je faida ipo??
Mimi naunga mkono maana tumeibiwa sana na watz wenzetuHaaaa amewapa bandari wajomba?
Faida itakuja Rais hawezi kufanya maamuzi yasiyo na faida.Babuu miaka sio ishu ishu je faida ipo??
Unadumaza vip akili apo??Kudumaza akili zetu kwa miaka 100 kuna faida?
Vv
Kwa tz unmindful ni zeroUnadumaza vip akili apo??
Kama analysis inaonesha huu ubinafsishaji utaongeza faida zaidi ya sasa makosa yako wap?
Wasipouza Pesa za uchaguzi na instruments za uchaguzi watazilipa nini?SoC03 - Ili tuendelee, tunachotakiwa kubadili ni mindset ya watu wetu kwanza
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi. Hakika, katika safari yangu hapa duniani, nimekua najiuliza maswali mengi sana ili kupata utambuzi wa identity yetu sisi watu weusi na kwanini tuko katika hali hizi zetu duni...www.jamiiforums.com