Pre GE2025 Kwa agenda za kujidhoofisha yenyewe, CHADEMA inaweza kuwa nafasi ya 6 au ya 9 uchaguzi mkuu wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema haitashiriki uchaguzi usio huru na haki mwaka huu
hata wananchi wengi wanapendelea vibaka na matepeli wa siasa nchini wasishiriki wala wasilete fujo tu wakati uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa kihistoria nchini, utakapofanyika mapema October 2025🐒
 
Tatizo la makada wa CCM wanashinda kuongelea Chadema na kufanya hivyo Chadema inakuwa mashuhuri kuliko CCM hasa kwenye mitandao. Huo ndiyo ukweli
Gentleman,
kwamba chama kinachoongozwa na kibaka na tapeli wa siasa, kinachokimbia uchaguzi kwa kukosa pesa za kufanyia kampeni kwa wagombea uongozi wao kiwe mashuhuri, kweli?

labda umashuhuri wa kuomba omba kuchangiwa pesa za pocket money kwa kiongozi wake 🐒
 
hata wananchi wengi wanapendelea vibaka na matepeli wa siasa nchini wasishiriki wala wasilete fujo tu wakati uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa kihistoria nchini, utakapofanyika mapema October 2025🐒
Hizo sifa ulizoainisha hapo juu ndiyo za waliopo madarakani wananchi wa Tanzania ya Leo siyo wa Tanzania ya Jana Wana ufahamu na uelewa juu ya nn ni sahihi kwao
 
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.

Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.

Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Yaani wewe ndiye utumbo na tope kabisa maana huwezi kujibu hata hoja moja iliyobebwa na mantiki ya kaulimbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION..

Hakuna uchaguzi mwaka huu....

Tutaingia kwenye uchaguzi wote if only mabadiliko yote muhimu ya mifumo ya uchaguzi na utawala wa nchi hii tumeyafanyia overhauling kwa kuhakikisha tunapata KATIBA MPYA YA WANANCHI....

We give you 2 - 3 years ahead to make sure all necessary legal & constitutional reforms are made...

You can do this willingly or by force...
 
Vp ikiwa ya 19 kabisa we unaonaje kibanga
kwa ukata wa pesa uliopo ndani ya Chadema, na kwa namna ambayo haina agenda ya maana, lazima ikimbie uchaguzi kwa no reform no elections na matokeo yake itajikua inastruggle walau kubaki kwenye top ten ya vyama vya upinzani 🐒
 
Hizo sifa ulizoainisha hapo juu ndiyo za waliopo madarakani wananchi wa Tanzania ya Leo siyo wa Tanzania ya Jana Wana ufahamu na uelewa juu ya nn ni sahihi kwao
vibaka, matapeli na omba omba kuchangiwa pesa za pocket money kwa wananchi, hawana athari yoyote kisiasa hata wasiposhiriki uchaguzi huo mkuu wa kikatiba Tanzania 🐒
 
Yaani wewe ndiye utumbo na tope kabisa maana huwezi kujibu hata hoja moja iliyobebwa na mantiki ya kaulimbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION..

Hakuna uchaguzi mwaka huu....

Tutaingia kwenye uchaguzi wote if only mabadiliko yote muhimu ya mifumo ya uchaguzi na utawala wa nchi hii tumeyafanyia overhauling kwa kuhakikisha tunapata KATIBA MPYA YA WANANCHI....

We give you 2 - 3 years ahead to make sure all necessary legal & constitutional reforms are made...

You can do this willingly or by force...
Gentleman,
huyupo kibaka au tapeli yeyote wa ndani au nje ya nchi atakaelekeza Serikali sikuvu ya CCM kuhusu mustakabali wa wananchi na waTanzania wote.

Kibaka na tapeli wa siasa, pamoja na huyo mvuta bangi na addict wa kubeti aliefilisiwa pension ya ubunge kwa kubeti jidanganyeni huko huko ndani ya chama chenu kwa kuomba omba kuchangiwa pesa za pocket money,

nikuhakushie tu,
katika miaka mitano ijayo, hakuna aya, nukta wala koma kwenye sheria za uchaguzi au katiba ya nchi itaguswa. Kamwambie hii na mwenyekiti wako 🐒
 
Mwenye hiyo tabia mbona anajulikana,anayetegemea miaka yote kuiba kura
ni huyo ombaomba kuchangiwa pesa za pocket money mara kwa mara right?

hataki kufanya kazi wala kujitegemea kabisa ni kuishi kwa kuomba omba tu 🐒
 
Gentleman,
huyupo kibaka au tapeli yeyote wa ndani au nje ya nchi atakaelekeza Serikali sikuvu ya CCM kuhusu mustakabali wa wananchi na waTanzania wote.

Kibaka na tapeli wa siasa, pamoja na huyo mvuta bangi na addict wa kubeti aliefilisiwa pension ya ubunge kwa kubeti jidanganyeni huko huko ndani ya chama chenu kwa kuomba omba kuchangiwa pesa za pocket money,

nikuhakushie tu,
katika miaka mitano ijayo, hakuna aya, nukta wala koma kwenye sheria za uchaguzi au katiba ya nchi itaguswa. Kamwambie hii na mwenyekiti wako 🐒
Hivi kwa nini binadamu huwa mnajitoa ufahamu,au ndiyo kusema n'gombe amekuzidi akili? nani asiyejua kama miaka yote CCM razima washinde uchaguzi kwa hira? Nape mwenyewe aliongea ukweli mchungu kutoka moyoni mwake
 
ni huyo ombaomba kuchangiwa pesa za pocket money mara kwa mara right?

hataki kufanya kazi wala kujitegemea kabisa ni kuishi kwa kuomba omba tu 🐒
Na anayezunguka kila siku kwenda kwa watu badala ya kukaa nyumbani alikuwa anaenda kufanya nini?
 
sasa kibaka na tapeli w siasa atajitegemea lini? Si atakiua chama gentleman?

kweli atombaomba kuchangiwa mpaka lini pocket money na singinda kuna ardhi nzur tu ya kilimo aise 🐒
 
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa Tanzania unafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwasabb ya makelele, mayowe na midomo ya vibaka na matepeli wa siasa nchini.

Ni muhimu vibaka wanapuuzwa 🐒
Vibaka huwa wanakimbia na masunduku ya kura, kwahio acha CDM iendelee kuwapuuza.
 
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.

Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.

Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Jana M/ Mwenyekiti John Heche , amempiga spana Makala na ccm yake ,hope leo Mpaka jtatu atabaki amelala na kuwewesuka kwa spana zile, mwenye ubavu wa kujibu yale mapigo toka ccm anyooshe mkono kama anajikuna.

Safari hii ccm mmeyatimba, sasa makala, M/ mwenyekiti ccm, Mwenyekiti ccm wanaweza kujibu nini ,jibu hawana cha kujibu kwa hoja alizozitoa Heche bali wakubali baki na maumivu mwoyoni tu .

Wasiwasi wangu wenda ccm mpaka mdaa huu wanatamani kubadilisha majina kwamba ccm iitwe chadema na chadema iitwe ccm .

Chadema ya sasa ni balaa wa kujibu hoja za chadema kutoka ccm simuoni kabisa, kinana alikua anajitahidi ila kwa sasa pia angepoteana bora alivyosoma alama za nyakati.
 
sasa kibaka na tapeli w siasa atajitegemea lini? Si atakiua chama gentleman?

kweli atombaomba kuchangiwa mpaka lini pocket money na singinda kuna ardhi nzur tu ya kilimo aise 🐒
Ngoja nikwambie ukweli,ukiishi kwa kutete wezi,wazurumaji au ukawa na wewe ni mnufaika wa huo mfumo, basi tegemea mwisho wako utakuwa mbaya sana,yaani unaweza ukaishi kwa raha na mstarehe kwa jasho au haki la watu wanaokosa matibabu,elimu,chakula ukawatia katika ufukara,huku wewe ukila na kusaza,mfano yule mzee wa samaki,
Basi hata kama utaishi miaka mia huo mwisho wako wa mauti yako utakuwa mbaya sana,tena utajuta,ndiyo maana watu wamehamia mahospital huku wameacha mahekalu yao,haya yote wanalipia dhuluma walizowafanyia rai zao
Hapo sasa hawa CCM wakilazimisha watafanya uchaguzi wenyewe na watakuwa wametia fora sana maana itakuwa kichekesho!
CHADEMA wasibadili msimamo!
Yaani lazima waufyate,yale mambo sijui mtu kakosea kujaza form mara uizi wa kura yanaenda kufa kifo cha mende
 
kwa ukata wa pesa uliopo ndani ya Chadema, na kwa namna ambayo haina agenda ya maana, lazima ikimbie uchaguzi kwa no reform no elections na matokeo yake itajikua inastruggle walau kubaki kwenye top ten ya vyama vya upinzani 🐒
Kwahiyo na ajira yako ya kupiga domo itaisha rasmi kwakuwa chadema itakuwa ishajifia si ndio?
 
Ngoja nikwambie ukweli,ukiishi kwa kutete wezi,wazurumaji au ukawa na wewe ni mnufaika wa huo mfumo, basi tegemea mwisho wako utakuwa mbaya sana,yaani unaweza ukaishi kwa raha na mstarehe kwa jasho au haki la watu wanaokosa matibabu,elimu,chakula ukawatia katika ufukara,huku wewe ukila na kusaza,mfano yule mzee wa samaki,
Basi hata kama utaishi miaka mia huo mwisho wako wa mauti yako utakuwa mbaya sana,tena utajuta,ndiyo maana watu wamehamia mahospital huku wameacha mahekalu yao,haya yote wanalipia dhuluma walizowafanyia rai zao

Yaani lazima waufyate,yale mambo sijui mtu kakosea kujaza form mara uizi wa kura yanaenda kufa kifo cha mende
Gentleman,
huna la kuniambia mimi wala mdau mwingine wa jamii forum, muungwana ana tabia mbaya sana ya kuomba omba kuchangiwa pesa na hana mpango mkakati wowote ule wa kujitegemea,

ni mtu mwenye imani potofu pekeyake ndio anaweza kumuamini mtu kama huyu. Ni kama mtu anaeamini ramli na ushirikiana.

Yaani ni kama mshirikina ambae hana hata pesa wala nyumba, halafu anakuhadaa wewe graduate kwa ndumba eti utapata pesa mingi na kua tajiri ndiyo huyo kibaka anawafanya 🐒
 
Back
Top Bottom