Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata wananchi wengi wanapendelea vibaka na matepeli wa siasa nchini wasishiriki wala wasilete fujo tu wakati uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa kihistoria nchini, utakapofanyika mapema October 2025🐒Chadema haitashiriki uchaguzi usio huru na haki mwaka huu
Gentleman,Tatizo la makada wa CCM wanashinda kuongelea Chadema na kufanya hivyo Chadema inakuwa mashuhuri kuliko CCM hasa kwenye mitandao. Huo ndiyo ukweli
Hizo sifa ulizoainisha hapo juu ndiyo za waliopo madarakani wananchi wa Tanzania ya Leo siyo wa Tanzania ya Jana Wana ufahamu na uelewa juu ya nn ni sahihi kwaohata wananchi wengi wanapendelea vibaka na matepeli wa siasa nchini wasishiriki wala wasilete fujo tu wakati uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa kihistoria nchini, utakapofanyika mapema October 2025🐒
Yaani wewe ndiye utumbo na tope kabisa maana huwezi kujibu hata hoja moja iliyobebwa na mantiki ya kaulimbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION..Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
kwa ukata wa pesa uliopo ndani ya Chadema, na kwa namna ambayo haina agenda ya maana, lazima ikimbie uchaguzi kwa no reform no elections na matokeo yake itajikua inastruggle walau kubaki kwenye top ten ya vyama vya upinzani 🐒Vp ikiwa ya 19 kabisa we unaonaje kibanga
vibaka, matapeli na omba omba kuchangiwa pesa za pocket money kwa wananchi, hawana athari yoyote kisiasa hata wasiposhiriki uchaguzi huo mkuu wa kikatiba Tanzania 🐒Hizo sifa ulizoainisha hapo juu ndiyo za waliopo madarakani wananchi wa Tanzania ya Leo siyo wa Tanzania ya Jana Wana ufahamu na uelewa juu ya nn ni sahihi kwao
Gentleman,Yaani wewe ndiye utumbo na tope kabisa maana huwezi kujibu hata hoja moja iliyobebwa na mantiki ya kaulimbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION..
Hakuna uchaguzi mwaka huu....
Tutaingia kwenye uchaguzi wote if only mabadiliko yote muhimu ya mifumo ya uchaguzi na utawala wa nchi hii tumeyafanyia overhauling kwa kuhakikisha tunapata KATIBA MPYA YA WANANCHI....
We give you 2 - 3 years ahead to make sure all necessary legal & constitutional reforms are made...
You can do this willingly or by force...
Mwenye hiyo tabia mbona anajulikana,anayetegemea miaka yote kuiba kurahuku wewe ukiwa kibaka na tapeli wa siasa right?🐒
Hivi kwa nini binadamu huwa mnajitoa ufahamu,au ndiyo kusema n'gombe amekuzidi akili? nani asiyejua kama miaka yote CCM razima washinde uchaguzi kwa hira? Nape mwenyewe aliongea ukweli mchungu kutoka moyoni mwakeGentleman,
huyupo kibaka au tapeli yeyote wa ndani au nje ya nchi atakaelekeza Serikali sikuvu ya CCM kuhusu mustakabali wa wananchi na waTanzania wote.
Kibaka na tapeli wa siasa, pamoja na huyo mvuta bangi na addict wa kubeti aliefilisiwa pension ya ubunge kwa kubeti jidanganyeni huko huko ndani ya chama chenu kwa kuomba omba kuchangiwa pesa za pocket money,
nikuhakushie tu,
katika miaka mitano ijayo, hakuna aya, nukta wala koma kwenye sheria za uchaguzi au katiba ya nchi itaguswa. Kamwambie hii na mwenyekiti wako 🐒
Na anayezunguka kila siku kwenda kwa watu badala ya kukaa nyumbani alikuwa anaenda kufanya nini?ni huyo ombaomba kuchangiwa pesa za pocket money mara kwa mara right?
hataki kufanya kazi wala kujitegemea kabisa ni kuishi kwa kuomba omba tu 🐒
sasa kibaka na tapeli w siasa atajitegemea lini? Si atakiua chama gentleman?Na anayezunguka kila siku kwenda kwa watu badala ya kukaa nyumbani alikuwa anaenda kufanya nini?
Hapo sasa hawa CCM wakilazimisha watafanya uchaguzi wenyewe na watakuwa wametia fora sana maana itakuwa kichekesho!Uchaguzi gan???.
Vibaka huwa wanakimbia na masunduku ya kura, kwahio acha CDM iendelee kuwapuuza.Gentleman,
uchaguzi mkuu wa Tanzania unafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwasabb ya makelele, mayowe na midomo ya vibaka na matepeli wa siasa nchini.
Ni muhimu vibaka wanapuuzwa 🐒
Jana M/ Mwenyekiti John Heche , amempiga spana Makala na ccm yake ,hope leo Mpaka jtatu atabaki amelala na kuwewesuka kwa spana zile, mwenye ubavu wa kujibu yale mapigo toka ccm anyooshe mkono kama anajikuna.Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Ngoja nikwambie ukweli,ukiishi kwa kutete wezi,wazurumaji au ukawa na wewe ni mnufaika wa huo mfumo, basi tegemea mwisho wako utakuwa mbaya sana,yaani unaweza ukaishi kwa raha na mstarehe kwa jasho au haki la watu wanaokosa matibabu,elimu,chakula ukawatia katika ufukara,huku wewe ukila na kusaza,mfano yule mzee wa samaki,sasa kibaka na tapeli w siasa atajitegemea lini? Si atakiua chama gentleman?
kweli atombaomba kuchangiwa mpaka lini pocket money na singinda kuna ardhi nzur tu ya kilimo aise 🐒
Yaani lazima waufyate,yale mambo sijui mtu kakosea kujaza form mara uizi wa kura yanaenda kufa kifo cha mendeHapo sasa hawa CCM wakilazimisha watafanya uchaguzi wenyewe na watakuwa wametia fora sana maana itakuwa kichekesho!
CHADEMA wasibadili msimamo!
Kwahiyo na ajira yako ya kupiga domo itaisha rasmi kwakuwa chadema itakuwa ishajifia si ndio?kwa ukata wa pesa uliopo ndani ya Chadema, na kwa namna ambayo haina agenda ya maana, lazima ikimbie uchaguzi kwa no reform no elections na matokeo yake itajikua inastruggle walau kubaki kwenye top ten ya vyama vya upinzani 🐒
Gentleman,Ngoja nikwambie ukweli,ukiishi kwa kutete wezi,wazurumaji au ukawa na wewe ni mnufaika wa huo mfumo, basi tegemea mwisho wako utakuwa mbaya sana,yaani unaweza ukaishi kwa raha na mstarehe kwa jasho au haki la watu wanaokosa matibabu,elimu,chakula ukawatia katika ufukara,huku wewe ukila na kusaza,mfano yule mzee wa samaki,
Basi hata kama utaishi miaka mia huo mwisho wako wa mauti yako utakuwa mbaya sana,tena utajuta,ndiyo maana watu wamehamia mahospital huku wameacha mahekalu yao,haya yote wanalipia dhuluma walizowafanyia rai zao
Yaani lazima waufyate,yale mambo sijui mtu kakosea kujaza form mara uizi wa kura yanaenda kufa kifo cha mende