JUA ni Kali Sana
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 1,202
- 1,543
Unajidanganyavibaka, matapeli na omba omba kuchangiwa pesa za pocket money kwa wananchi, hawana athari yoyote kisiasa hata wasiposhiriki uchaguzi huo mkuu wa kikatiba Tanzania π
Akili yako wewe labda inalingana na Mbowe,lakini wenye akili wote wanamkubali Tundu lissuGentleman,
huna la kuniambia mimi wala mdau mwingine wa jamii forum, muungwana ana tabia mbaya sana ya kuomba omba kuchangiwa pesa na hana mpango mkakati wowote ule wa kujitegemea,
ni mtu mwenye imani potofu pekeyake ndio anaweza kumuamini mtu kama huyu. Ni kama mtu anaeamini ramli na ushirikiana.
Yaani ni kama mshirikina ambae hana hata pesa wala nyumba, halafu anakuhadaa wewe graduate kwa ndumba eti utapata pesa mingi na kua tajiri ndiyo huyo kibaka anawafanya π
Cha kufurahisha wanachama wa Chadema wanajitambua kuliko CCM hata kama huwa wanaibiwa kurakutapeliwa na kibaka wa siasa kirahisi hivyo, nalo ni janga la Taifa kwa sasa. Pole gentleman π
Hata kama CCM wanatuibia kura lakini tumekata kubuluzwa na Sultani Mbowekumbe wanatambua kabisa kua wanaongozwa na kutapeliwa na kibaka wa kisiasa nchini, dah!π