Pre GE2025 Kwa agenda za kujidhoofisha yenyewe, CHADEMA inaweza kuwa nafasi ya 6 au ya 9 uchaguzi mkuu wa 2025

Pre GE2025 Kwa agenda za kujidhoofisha yenyewe, CHADEMA inaweza kuwa nafasi ya 6 au ya 9 uchaguzi mkuu wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gentleman,
huna la kuniambia mimi wala mdau mwingine wa jamii forum, muungwana ana tabia mbaya sana ya kuomba omba kuchangiwa pesa na hana mpango mkakati wowote ule wa kujitegemea,

ni mtu mwenye imani potofu pekeyake ndio anaweza kumuamini mtu kama huyu. Ni kama mtu anaeamini ramli na ushirikiana.

Yaani ni kama mshirikina ambae hana hata pesa wala nyumba, halafu anakuhadaa wewe graduate kwa ndumba eti utapata pesa mingi na kua tajiri ndiyo huyo kibaka anawafanya 🐒
Akili yako wewe labda inalingana na Mbowe,lakini wenye akili wote wanamkubali Tundu lissu
 
Akili yako wewe labda inalingana na Mbowe,lakini wenye akili wote wanamkubali Tundu lissu
kutapeliwa na kibaka wa siasa kirahisi hivyo, nalo ni janga la Taifa kwa sasa. Pole gentleman 🐒
 
kutapeliwa na kibaka wa siasa kirahisi hivyo, nalo ni janga la Taifa kwa sasa. Pole gentleman 🐒
Cha kufurahisha wanachama wa Chadema wanajitambua kuliko CCM hata kama huwa wanaibiwa kura
 
Cha kufurahisha wanachama wa Chadema wanajitambua kuliko CCM hata kama huwa wanaibiwa kura
kumbe wanatambua kabisa kua wanaongozwa na kutapeliwa na kibaka wa kisiasa nchini, dah!🐒
 
Hata kama CCM wanatuibia kura lakini tumekata kubuluzwa na Sultani Mbowe
Gentleman,
relax, na ufikirie, chadema inaweza kushika nafasi ya ngapi kati ya 6 na 9 baada ya matokeo yote kutoka?🐒
 
Back
Top Bottom