Kwa aina hii ya muziki, Aliyemshauri Diamond kugeukia biashara ya karanga alimsaidia

Kwa aina hii ya muziki, Aliyemshauri Diamond kugeukia biashara ya karanga alimsaidia

Habari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.

nawasilisha
Hivi leo ukiulizwa "Tanzania,s best musician of all time" unajibu vipi kwa mfano
 
to a ujinga wako hapa! unatuletea manyimbo yake ya zamani, wakati sisi tunazungumzia current songs. harafu kuwa na viewers wengi siyo sababu ya kusema muziki wako unakubalika. some time watu wanaingia kuangalia msanii alichoimba kama kiko poa au la
Wapi ulipoandika ni CURRENT SONGS ........??
Na hizo CURRENT SONGS ZAKE NIZILINGANISHE NA NYIMBO GANI,AMBAZO ZIMEZIPITA HIZI ZA MOND ??
 
Habari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.

nawasilisha
Bwabwa, huku siko kwako subiri kipensi atatoa wimbo punde. Kipensi nusura aue babaye miaka 6 iliyopita. Baba aliposhuhudia mwanae Kipensi anapenyezwa kitu na rafiki yake.

Rafiki huyo akavujisha siri, ukweli utabaki daima kipensi chakula.
 
Habari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.

nawasilisha
Hujui hata kuandika, afu unataka kumkosoa Diamond!!!!!!!! Unaishi kwa shemeji yako, afu unajidai kumkosoa mtu aliyekuzidi kwa kila kitu
 
Mameneja wako ndio wakulaumiwa. Dogo hana elimu. Zaidi ya kipaji. Sijawah ona mameneja karibu watatu. Upeo mdogo. Dogo hapumziki hata miezi sita katoa wimbo. Jamii inakuzoea na kukuchoka pia. Angalia wasanii wa nje. Hawatoi nyimbo hovyo. Nabado wanamafanikio. Sijui wanamziki wa bongo. Wanahitaj mameneja wenye vigezo gani... Wanachangia kuwapoteza wasanii

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Davido na Wizkid
Hivi wewe ni mfuatiliaji wa muziki kweli .........?? Unajua Wizkid na huyo Davido wametoa nyimbo ngapi ngapi kwa siku za hivi karibuni ....??
 
hujui kitu we nenda ukalale
Ndio vizuri kumpata mtu "hasiyejua kitu" ili umueleweshe,sitoenda kulala bila kujibu maswali yangu,jibu kwanza maswali yangu (na kama huwezi kujibu hoja usiwe unaanzisha mada za hovyo)
 
Wapi ulipoandika ni CURRENT SONGS ........??
Na hizo CURRENT SONGS ZAKE NIZILINGANISHE NA NYIMBO GANI,AMBAZO ZIMEZIPITA HIZI ZA MOND ??
Tetea mshahara baba

Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
 
M'Bongo bila Wivu na Gebe sio yeye na hajakamilika.

Diamond kuuza karanga ni kutoka kuwa Mwanamuziki anayetegemea tu muziki na mpaka kuwa Mwekezaji Wa muziki.
 
Tetea mshahara baba

Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
Poa,lakini "natetea mshahara" kwa hoja,hebu mpe ushauri huyo jamaa kwamba hapa siendi kulala bila kujibu maswali yangu.
 
Sawa umesikika.

Naona Kiba naye kaingiza mzigo mpya sokoni.

index.jpeg
 
King kiba si nasikia anauza mifagio

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mtu kama huyu anayelala kwa shemeji, kwenye chumba kirefu hajui maana ya investment na soko la kimataifa la mziki linataka nini. Kwa taarifa yako kwa mwaka huu wizkid, davido, olamide, yemialade wametoa nyimbo zaidi ya tatu na leo hii wizkid katoa album. Tatizo vijana wengi mnapenda mafanikio, lkn hampendi kujifunza kwa waliofanikiwa na ndio maana hamfanikiwi mnaishia kujenga majungu, wivu na chuki za kijinga mpaka mungu anashindwa kuwabariki.
 
Labda ni muziki wa aina gani anatakiwa kuimba tusaidie mkuu? maana nachokiona mimi jamaa kaachia nyimbo tatu alizo target soko la ndani na nje na hii ya juzi inayokita sana west Africa

Pia tambua ya kwamba muziki unabadilika hawezi kuimba tena mbagala akaeleweka nyakati hizi

Punguza wivu mkuu

Sent from my Blackberry DTEK70 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom