Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Anayeweza mziki ni nani sasa?bora aendeleee kula alichovuna maana kama ni mziki wenyewe umemshinda
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayeweza mziki ni nani sasa?bora aendeleee kula alichovuna maana kama ni mziki wenyewe umemshinda
Hivi leo ukiulizwa "Tanzania,s best musician of all time" unajibu vipi kwa mfanoHabari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.
nawasilisha
Wapi ulipoandika ni CURRENT SONGS ........??to a ujinga wako hapa! unatuletea manyimbo yake ya zamani, wakati sisi tunazungumzia current songs. harafu kuwa na viewers wengi siyo sababu ya kusema muziki wako unakubalika. some time watu wanaingia kuangalia msanii alichoimba kama kiko poa au la
Bwabwa, huku siko kwako subiri kipensi atatoa wimbo punde. Kipensi nusura aue babaye miaka 6 iliyopita. Baba aliposhuhudia mwanae Kipensi anapenyezwa kitu na rafiki yake.Habari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.
nawasilisha
Hujui hata kuandika, afu unataka kumkosoa Diamond!!!!!!!! Unaishi kwa shemeji yako, afu unajidai kumkosoa mtu aliyekuzidi kwa kila kituHabari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.
nawasilisha
Mameneja wako ndio wakulaumiwa. Dogo hana elimu. Zaidi ya kipaji. Sijawah ona mameneja karibu watatu. Upeo mdogo. Dogo hapumziki hata miezi sita katoa wimbo. Jamii inakuzoea na kukuchoka pia. Angalia wasanii wa nje. Hawatoi nyimbo hovyo. Nabado wanamafanikio. Sijui wanamziki wa bongo. Wanahitaj mameneja wenye vigezo gani... Wanachangia kuwapoteza wasanii
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Hivi wewe ni mfuatiliaji wa muziki kweli .........?? Unajua Wizkid na huyo Davido wametoa nyimbo ngapi ngapi kwa siku za hivi karibuni ....??Davido na Wizkid
hujui kitu we nenda ukalaleWapi ulipoandika ni CURRENT SONGS ........??
Na hizo CURRENT SONGS ZAKE NIZILINGANISHE NA NYIMBO GANI,AMBAZO ZIMEZIPITA HIZI ZA MOND ??
Ndio vizuri kumpata mtu "hasiyejua kitu" ili umueleweshe,sitoenda kulala bila kujibu maswali yangu,jibu kwanza maswali yangu (na kama huwezi kujibu hoja usiwe unaanzisha mada za hovyo)hujui kitu we nenda ukalale
[emoji106]Hajashindwa alipanda akapalilia akavuna sasa anakula... Mchumia juani hulia kivulini
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Tetea mshahara babaWapi ulipoandika ni CURRENT SONGS ........??
Na hizo CURRENT SONGS ZAKE NIZILINGANISHE NA NYIMBO GANI,AMBAZO ZIMEZIPITA HIZI ZA MOND ??
Poa,lakini "natetea mshahara" kwa hoja,hebu mpe ushauri huyo jamaa kwamba hapa siendi kulala bila kujibu maswali yangu.Tetea mshahara baba
Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app