Kwa aina ya mgombea wa CCM Temeke, jimbo litakwenda mikononi mwa ACT-Wazalendo, Shehe Issa Ponda kushinda mchana kweupe

Kwa aina ya mgombea wa CCM Temeke, jimbo litakwenda mikononi mwa ACT-Wazalendo, Shehe Issa Ponda kushinda mchana kweupe

Zamani Ila kwa sasa wamejichokea
Hapana wanafuatilia ila wanasiasa malaya wa aina ya Lipumba ndio wamewachosha, ilikuwa Lipumba, Tambwe, Maalim, Lyatonga wa moto uwaambii kitu wana temeke, ccm kule temeke wanaitwa chavi
 
Yes kwa sasa ccm wamerudi kwa kasi sana,ila sijafuatilia siasa za temeke hivi karibuni tokea niame mwaka 2010 sijajua kwanini ccm wamerudi kwa kasi sana
Sisiemu tangia 2020 walipoiba kura na kuvuruga uchaguzi wananchi waliona siasa hazina maana kwako ni kujichosha .

Hata vitambulisho watu wamejiandikisha ili wakapate mikopo ya kausha damu n.k
 
Sisiemu tangia 2020 walipoiba kura na kuvuruga uchaguzi wananchi waliona siasa hazina maana kwako ni kujichosha .

Hata vitambulisho watu wamejiandikisha ili wakapate mikopo ya kausha damu n.k
Haha

Kweli kabisa kuanzia mwaka 2020 wananchi waliona siasa za kilaghai
 
Haha

Kweli kabisa kuanzia mwaka 2020 wananchi waliona siasa za kilaghai
Magufuli alizingua Sana kiukweli Mimi naona angeiba kura za urais il kwa wabunge angeacha wananchi wachague wanayemtaka.
 
Ishu sio kushinda, Je atatangazwa na mkurugenzi?
Uchaguzi wa mwaka 2020 wapinzani wengi Sana walishinda lkn mwisho wa siku walifutwa wote
Watu wanajizima data tu. Mpaka sasa ni ngumu kutabiri kama kutakua na fair play
 
Ni moja ya majimbo wanayokwenda kupewa ACT ndio hawako serious Sana kivileee, lingine ni kigoma mjini, Kigoma-Mwandiga, nk.

ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan
 
Back
Top Bottom