Pre GE2025 Kwa aina ya Siasa anazofanya Tundu Lissu, hata akigombea Ubunge hapati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijui kwa nini CHAWA wa mbogamboga huwa hawaoni aibu kusema UONGO!
Maandishi mengi ila hayana hoja yenye mashiko hata moja tu ya kujadili, ni utumbo mtupu.

Na pia, ni kwa nini mods wanaruhusu pumba kama hizi kujaza server?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…