Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wamechanyikiwa had I wanapata wazimu😂😂Ulisema hawezi kumshinda mbowe, sasa umehamisha goli tena.
Ukishakuwa chawa kazi yako inakuwa ni kuandika upumbavu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamechanyikiwa had I wanapata wazimu😂😂Ulisema hawezi kumshinda mbowe, sasa umehamisha goli tena.
Ukishakuwa chawa kazi yako inakuwa ni kuandika upumbavu tu
Sijui kwa nini CHAWA wa mbogamboga huwa hawaoni aibu kusema UONGO!Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.
Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.
Soma Pia:
Hata hiyo,
- Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Antipas Lissu! Kumsihi aachane na nia yake ya kugombea urais 2025-2030
- Kuelekea 2025 - Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.
Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.
Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒