Pre GE2025 Kwa aina ya Siasa anazofanya Tundu Lissu, hata akigombea Ubunge hapati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ili iweje. Mkapange mikakati ya utekaji mwingine?
Hata hivyo 'Chura Kiziwi' kisha waonya. Hataki kuwa Magufuli wa kike.
Mnajipendekeza kwake ili muendelee kunufaika, kumbe mnamharibia sifa yake!
kusema ukweli hapahitaji malipo gentleman
 
Sijambo baba mtumishi, mama yako yupo Joannah unaitwa na baba mtumishi.!!

Hamna lolote zipigwe kura za uwazi muone km mtatoboa.!! Nyie bila poli CCM na walimu kuwasaidia kwenye ballot box hamtoboi
Mwanangu Tlaatlaah naona kacharuka na 2025,hadi tumbo la uzazi liinanicheza ninawiwa kuhamia huko CCM nimsaidie campaign
 
Mwanangu Tlaatlaah naona kacharuka na 2025,hadi tumbo la uzazi liinanicheza ninawiwa kuhamia huko CCM nimsaidie campaign
I miss you very much Mom,
its my hope you are doing well Mom, right?

don't forget to comfort me with prayers as you always do, and plz join me in the spirit of transforming the country into prosperous, through Chama Cha Mapinduzi CCM, under our very capable leader comrade Dr Samia Suluhu Hassan πŸ™
 
Wewe huna ukweli wowote, umejaa takataka tupu.
Rudi nyuma uangalie, tokea umeingia humu, ni taka kila sehemu.
ni ukweli tu kwendra mbele mpaka maji uyaite mma 🀣
 
don't forget to comfort me with prayers as you always do, and plz join me in the spirit of transforming the country into prosperous, through Chama Cha Mapinduzi CCM, under our very capable leader comrade Dr Samia Suluhu Hassan
Hii CCM ulianza kuijua alipo ingia Samia, su siyo? Na karibuni atakapo ondoka, CCM hiyo hiyo unaisahau!
 
ni ukweli tu kwendra mbele mpaka maji uyaite mma 🀣
Ukiendelea hivi hivi, sitakuwa na sababu ya kuhangaika na wewe. Ngoja nikuache nione kama mabadiliko haya ni ya kweli.
Hivi vitakataka rejareja havimsumbui yeyote tena.
 
Am doing just fine my dearest son,I missed u dearly too.

I will pray for you hadly,as long as ur my lovely son comforting u is my duty,and surely I'll pay my dues to make sure our comrade mama, her excellency,honorable Dr Samia Suluhu Hassan get historical victory!worry out mitano tena
 
Acha uchawi
 
🀣🀣🀣πŸ”₯πŸ”₯πŸ€πŸ€πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ’ͺπŸ’ͺ❀️🌹

thank you GodπŸ™πŸ™

thus great Mom, I'm proud of you πŸŽ‰
 
Nakushauri urudie kusoma ulichoandika na kujitafakari. Bora hizi mambo ukaandike Facebook huko lakini siyo hapa, ni ushauri tu na wala siyo sheria
 
Mwanangu Tlaatlaah naona kacharuka na 2025,hadi tumbo la uzazi liinanicheza ninawiwa kuhamia huko CCM nimsaidie campaign
Hapo kuwiwa ndio mbavu zinaponiuma mie 🀣🀣🀣
Tatizo anaandika magazeti mpk macho yanauma.!
 
Bure kabisa wew

Mbona huja hoji rushhwa anayotoa Abdul kwa wanasiasa wa upinzani

Una akili za kitumwa fogo
 
Bure kabisa wew

Mbona huja hoji rushhwa anayotoa Abdul kwa wanasiasa wa upinzani

Una akili za kitumwa fogo
upinzani ni dhaifu na kibogoyo Tanzania, wamebaki kumbwela mbwela tu kutafuta huruma kwa uzushi na visingizio ambavyo haziwasaidii chochote πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…