Pre GE2025 Kwa aina ya Siasa anazofanya Tundu Lissu, hata akigombea Ubunge hapati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo kuwiwa ndio mbavu zinaponiuma mie 🤣🤣🤣
Tatizo anaandika magazeti mpk macho yanauma.!
ikiwa kwenye ni kwenye mimbari ya kuhubiria madhabahuni kanisani au kwenye jukwaa la kisiasa live sijui itakuaje kwakweli,

hayo macho lazima yapone kukuuma :pedroP:
 
Hiyo misamihati yako hapana kwakweli “mimbari” ndio nini tena? 😂
 
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
Endelea na upunguani wako Lisu anashinda mapema uraisi 2025 hatakama polccm wakimbie na masanduku ya kura
 
Utumbo mtupu.eti.imotional stori!!ndio nini sasa.
 
Unaendeleaje Masta Talaatlaahtata
 
Wewe utakuwa humuelewagi tu

Masta go to reality Masta... jamaa tayari ni Chairman, picha inaanzia hapo
what's chairmanship in Tz gentleman?

mbona Hashim Rungwe mzee wa ubwabwa na hata Lipumba ni macharman pia 🐒
 
Ulisema hawezi kumshinda mbowe, sasa umehamisha goli tena.
Ukishakuwa chawa kazi yako inakuwa ni kuandika upumbavu tu
 
Ati ni mtafiti wa Lumumba. Uchawi tu alionao.
 
Back
Top Bottom