Suzy Elias JF-Expert Member Joined Nov 9, 2021 Posts 1,067 Reaction score 6,200 Dec 8, 2021 #1 Hao ndiyo wanasiasa wetu wanaoamini katika maneno bila vitendo. Picha hapo juu ni mmoja wa wanasiasa machachari mno linapokuja suala la nadharia kuhusu kupambana na Corona ajabu katika vitendo ni sifuri! Hapo hana hata barakoa.
Hao ndiyo wanasiasa wetu wanaoamini katika maneno bila vitendo. Picha hapo juu ni mmoja wa wanasiasa machachari mno linapokuja suala la nadharia kuhusu kupambana na Corona ajabu katika vitendo ni sifuri! Hapo hana hata barakoa.
escrow one JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,473 Reaction score 2,868 Dec 8, 2021 #2 Mwanasiasa wa bongo akikwambia usiku mwema, toka nje ukahakikishe kama ni usiku kweli.
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 Dec 8, 2021 #3 Kuna kwenda kazini na kwenda mapumzikoni. Ukiijua hii foemular wala husumbuani na ntu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 9, 2021 #4 Mambo yao waachieni wenyewe...