Kwa aina ya wanasiasa kama hawa wasioweza kusimamia hoja zao za kupambana na corona unatarajia nini?!

Kwa aina ya wanasiasa kama hawa wasioweza kusimamia hoja zao za kupambana na corona unatarajia nini?!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
20211208122000_instagram_17.jpg


Hao ndiyo wanasiasa wetu wanaoamini katika maneno bila vitendo.

Picha hapo juu ni mmoja wa wanasiasa machachari mno linapokuja suala la nadharia kuhusu kupambana na Corona ajabu katika vitendo ni sifuri!

Hapo hana hata barakoa.
 
Mwanasiasa wa bongo akikwambia usiku mwema, toka nje ukahakikishe kama ni usiku kweli.
 
Kuna kwenda kazini na kwenda mapumzikoni. Ukiijua hii foemular wala husumbuani na ntu
 
Back
Top Bottom